Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Jul 23, 2011 #41 lifeofmshaba said: hata hivyo huyu ni hawamu yake ya mwisho hapo bungeni Click to expand... nadhani awamu ndiyo neno linalofaa zaidi
lifeofmshaba said: hata hivyo huyu ni hawamu yake ya mwisho hapo bungeni Click to expand... nadhani awamu ndiyo neno linalofaa zaidi
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Jul 23, 2011 #42 Msishangae sana aliwahi kujitapa kuwa huko nyuma kuwa aliwahi kuwa baamedi morogoro
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,732 Jul 23, 2011 #43 hittler said: nafikiri sophia simba ana matatizo ya kiutendaji, hii ni hasara ya watanzania, badala rais achague watu kwa kuangalia uwezo wao yeye anaangalia wataalam wa mipasho kama kina sophia simba. Huyu mama hafai ata kuwa kiongozi wa familia Click to expand... kwa taarifa yako aliukwaa uwazr baada ya kumpigia saaana jk vigelegele kwenye kampeni,apart from hapo, ni kilaza tuuu
hittler said: nafikiri sophia simba ana matatizo ya kiutendaji, hii ni hasara ya watanzania, badala rais achague watu kwa kuangalia uwezo wao yeye anaangalia wataalam wa mipasho kama kina sophia simba. Huyu mama hafai ata kuwa kiongozi wa familia Click to expand... kwa taarifa yako aliukwaa uwazr baada ya kumpigia saaana jk vigelegele kwenye kampeni,apart from hapo, ni kilaza tuuu