Sophia Simba, Anne Kilango nusura wazichape

Sophia Simba, Anne Kilango nusura wazichape

Anne kilango bado anaugulia kwanza kwa kuukosa u-first lady and then akapigwa chini uenyekiti wa UWT!! pole Mrs Cigwiyemisi Malecela! there is always the next time, kubali hali uishi kwa amani; hasira na kisasi havitakusaidia.
 
Sijaona mahali palipo kushawishi uandike maneno "nusura wazichape"
 
Angalau wanawake hawa wameonyesha ukomavu kuzidi wanaume wa kiswahili! Sasa ili kulinda heshima ya nchi, naombaai mama Makinda atafute muda wake binafsi awapatanishe ili washiiriki kwa moyo mmoja katika mazoezi yakupulizia oksijeni chama chao ambacho kiko ICU. Na ukiona hivi ujue hakuna tena maadili ndani ya ccm.
Huyu Kilango wala haitii CCM aibu kwa kuwa hakupigana kule mjengoni. Huyu mama kama hana habari ni kwamba anamtia mume wake aibu. Inaonekana huyu mzee hawezi kumdhibiti huyu mama ndiyo maana amekaa kishari shari. Hata anapochangia bungeni all the time ni lazima agombe. Inawezekana ana stress. Anahitaji ushauri na unasihi. Amekosa u-first lady. Lile kundi la mitume 12 lilisambaratika. Kama haitoshi kakosa uongozi wa UWT. What do you expect? Stress. Nadhani Mirembe hospitali itasaidia zaidi.
 
Wazichape tuone shanga kudadadekiiii
 
When you are Food of the Giants any thing can be possible for you!

This is very shameful.
No wonder, western media, do not portray positive image of Africa.
Tunatafuta mchawi wakati wachawi ni sisi wenyewe!
 
Angalau wanawake hawa wameonyesha ukomavu kuzidi wanaume wa kiswahili! Sasa ili kulinda heshima ya nchi, naombaai mama Makinda atafute muda wake binafsi awapatanishe ili washiiriki kwa moyo mmoja katika mazoezi yakupulizia oksijeni chama chao ambacho kiko ICU. Na ukiona hivi ujue hakuna tena maadili ndani ya ccm.

This leaves a lot to be desired!
Makinda herself is a very big disaster, what can she do?
 
UHASAMA wa kisiasa kati ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto, Sophia Simba na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango, umevuka mipaka na sasa ni uadui wa wazi wazi. Hali hiyo ilidhihirika wiki iliyopita mjini Dodoma, wakati wawili hao walipokutana katika Benki ya CRDB iliyopo bungeni na badala ya kusalimiana, waliishia kutofautiana. Shuhuda wa tukio hilo, aliiambia MTANZANIA, kuwa tukio hilo lilitokea saa 6 mchana, baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuahirisha Bunge kutokana na vurugu zilizosababishwa na wabunge wa upinzani, wakati wa mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Shuhuda huyo alisema kuwa, kabla ya tukio hilo, Anne Kilango pamoja na wabunge wengine wa CCM, walikuwa ndani ya benki hiyo wakibadilishana mawazo.

Wakati wakiendelea kuzungumza, Sophia Simba aliingia ndani na kuanza kuwasalimia kila mmoja kama ilivyo kawaida.

“Sisi tulikuwa hapa ndani ya benki pamoja na Diana Chilolo (Mbunge wa Viti Maalum CCM), Turky, Mbunge wa Mpendae (Salim Abdallah Turky) pamoja na wahudumu wa benki.

“Sofia Simba alipofika, alitusalimia lakini Anne Kilango hakuitikia salamu yake na hapo Sofia akasema, mheshimiwa Anne Kilango nakusalimia.

“Aliposema hivyo tu, Anne Kilango akahamaki na kusema usinisalimie, mimi sitaki salamu yako. Kauli hiyo ilionekana kutushangaza na wakati tunashangaa, Sofia Simba akasema, mheshimiwa Anne Kilango mimi ni shoga yako na tumetoka mbali, kwa nini tusisalimiane?

“Aliposema hivyo, Anne Kilango akasema sitaki kusikia salamu yako, ‘shut up’ kisha akaondoka,” alisema shuhuda huyo akinukuu maneno ya Anne Kilango.

Alipotakiwa kuzungumzia suala hilo kwa njia ya simu, Simba alisema kwa kifupi, kwamba, “nina ngozi ngumu, sizungumzi mambo haya kwa sababu mimi ni kiongozi,” alisema na kukata simu.

Naye, Anne Kilango alipoulizwa naye alisema yeye hawezi kuzungumzia masuala hayo, kisha akakata simu.

Chanzo - Mtanzania

Mtanzania ni gazeti la udaku
cc: ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:
Huwa mimi nawaambia kila kukicha.. hawa wabunge wetu wanawake, japo wengine wamezeekea na wanafaa kuitwa mabibi, lakini hawana adabu hata kidogo, kwanza wanatabia ya kuchukuliana wanaume tena hapohapo bungeni.... Sophia Simba alikula uroda na jamaa anayechukuliwa na Anne Kilango... sasa nyie mnajua pale bunge zima UKIMWI ni aslimia 68% kati ya wabunge woteee... kila mtu ni lazima achukie kwakuwa hali hiyo ya magonjwa imesambaa bunge zima....... MUNGU WAREHEMU WABUNGE WETU HAWA WALAFI WA MAPENZI NA WENGINE WANANDOA ZAO!

This is very serious accusation
 
Kwa mtaji huu Mzee Male sela lazima anache kipigo mara kwa mara.
 
Huyu Kilango wala haitii CCM aibu kwa kuwa hakupigana kule mjengoni. Huyu mama kama hana habari ni kwamba anamtia mume wake aibu. Inaonekana huyu mzee hawezi kumdhibiti huyu mama ndiyo maana amekaa kishari shari. Hata anapochangia bungeni all the time ni lazima agombe. Inawezekana ana stress. Anahitaji ushauri na unasihi. Amekosa u-first lady. Lile kundi la mitume 12 lilisambaratika. Kama haitoshi kakosa uongozi wa UWT. What do you expect? Stress. Nadhani Mirembe hospitali itasaidia zaidi.

Wakati mwingine hali kama hiyo huwakuta mabinti ambao wamekaa muda mrefu bila kukutana na Boyb friend,sasa sijui mzee mwenzangu kazeeka SANA?
 
Anna Kilango ni kama mwanamke wa mnanda... she is surrounded by stupid drama na kugombana na watu

ana A ya kupayuka

unamuonea, ungesikia matusi ya kizaramo aliyotukanwa wa kati wa uchaguzi wao. Ndio ingeelewa
 
Huyu Kilango wala haitii CCM aibu kwa kuwa hakupigana kule mjengoni. Huyu mama kama hana habari ni kwamba anamtia mume wake aibu. Inaonekana huyu mzee hawezi kumdhibiti huyu mama ndiyo maana amekaa kishari shari. Hata anapochangia bungeni all the time ni lazima agombe. Inawezekana ana stress. Anahitaji ushauri na unasihi. Amekosa u-first lady. Lile kundi la mitume 12 lilisambaratika. Kama haitoshi kakosa uongozi wa UWT. What do you expect? Stress. Nadhani Mirembe hospitali itasaidia zaidi.

Mimi ninachokiona ni kweli yuko highly stressed. Lakini sijui specific tatizo lake ni nini. Ila nilichonote ni wabunge wa ccm na mawaziri karibu wote wamejikuta katika mfumo wa kuwasilisha na kuchangia kwa style ya kufokafoka. Awe na hoja inayoweza kupelekea kufoka foka ama hana ni lazima wafokefoke sasa.

Sikutaka kuisema hii observation yangu, lakini kwa ufupi ninaona ni ama lack of confidence, frustrations, kujihami dhidi ya makombora wanayoweza kuya trigger kwa michango yao mingi yenye maswali kibao ama ni matumizi mabaya ya arena yanayolenga kulipiza visasi kwa wanaodhani ni wabaya wao ama kutaka kuonyesha makali wakidhani wataonekana ni strong kwa wadau wao kupitia huko kufokafoka.

Na hii inaonekana kukomaa na kusambaa kwa wabunge wengi dhaifu wa ccm na hata wa pemba baada ya speaker na naibu wake kubainisha kwamba wabunge wa ccm wako juu ya kanuni za bunge na kwamba kiti kipo kwa maslahi yao na chama chao.
 
This leaves a lot to be desired!
Makinda herself is a very big disaster, what can she do?

Kama hawezi kusuruhisha basi angalau kwa unafiki awaambie wakatukananianage vyumbani ama waendage country side kusiko kuwa na watu.
 
Back
Top Bottom