Yaani ndivyo hivyo....Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
[emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Ooh hata Ndugai alisema, mtake msitake Magufuli ataongezewa miakaYaani ndivyo hivyo....
Mtake msitake....
Sophia Mjema ni zaidi ya Ndugai...Ooh hata Ndugai alisema, mtake msitake Magufuli ataongezewa miaka
Unaumwa mafindofindo weweSophia Mjema ni zaidi ya Ndugai...
Hata bungeni hayupo, falla yuleUmemsahau na yule mbunge wa Nkansi Kessy
Mkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Hiyo ni kwa mujibu wa wana ccm wenyeweMkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66
Kikwete alizaliwa October 7, 1950 na akastaafu mwaka 2015 akiwa na miaka 65
Magufuli alizaliwa October 29, 1959 na kama asingefariki angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65
Hivyo hata Samia aliyezaliwa January 27, 1960 angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65...zaidi ya hapo atakuwa kikongwe - atapigwa hela na wahuni mpaka basi, atachomekewa vitu kama majina ya teuzi, mikataba, nakadhalika; leo tu akiwa na nguvu kiasi mambo yanamlemea sembuse mwaka 2030 au 2035
Elimu yake na uelewa wake upojeHabari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.
Kwa mujibu wa Sophy Mjema ni kuwa mama Samia ni hadi 2035.
Ndani ya chama wewe kama humtaki basi andaa panadol za kutosha.
Hiyo ni kwa mijibu wa gazeti la Nipashe likimnukuu boss Mjema.
View attachment 2777273
Akasome Katiba tena; wanagesubiri JPM amalize miaka miwili ndipo pumzi ikatike, ni kweli angefikisha 35 lakini iliwahi sana.Yaani ndivyo hivyo....
Mtake msitake....
Turufu yake ipo kwenye upenyo wa kuleta katiba mpya!Akasome Katiba tena; wanagesubiri JPM amalize miaka miwili ndipo pumzi ikatike, ni kweli anegifikisha 35 lakini iliwahi sana.
Kumbu huyu naye ni dokta kipepe asiyejua kusoma katiba?
View attachment 2777295
Usikariri, wakati hubadilika!Mkapa alizaliwa November 12, 1938 na akastaafu mwaka 2005 akiwa na miaka 66
Kikwete alizaliwa October 7, 1950 na akastaafu mwaka 2015 akiwa na miaka 65
Magufuli alizaliwa October 29, 1959 na kama asingefariki angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65
Hivyo hata Samia aliyezaliwa January 27, 1960 angestaafu mwaka 2025 akiwa na miaka 65...zaidi ya hapo atakuwa kikongwe - atapigwa hela na wahuni mpaka basi, atachomekewa vitu kama majina ya teuzi, mikataba, nakadhalika; leo tu akiwa na nguvu kiasi mambo yanamlemea sembuse mwaka 2030 au 2035
Uwezekano huo upo pakiwepo na katiba mpya!Habari ziwafikie mapeeemaaa kuwa mtaendelea na makasiliko hadi mkome.