Umejuaje aisee?Mama kachoka kupanda mkonga
Naona anataka v8 au lx 😄
Ova
Hovyo kabisaMkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu mwenye gari akitaka kulitumia pia.
hili ndio swala la msingiHiki cheo kifutwe tu, cha kazi gani?
Nawajuwa hao,na wao wanataka kuninginia kwenye v8 cruser mayai full kiyoyoziUmejuaje aisee?
. Yaani wanaposema DCs hawana magari sijui kama watu wanaelewa.
Muongo mkubwa ma DC wote wana mashangingi na kuna ubaya gani akiazima kwa mkurugenzi ama hayo magari yapo tofauti?Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Sophia Mfaume Kizigo amesema Wakuu wa Wilaya hutumia magari ya kuazima Halmashauri na kwa RAS na kwamba leo hutumia gari hili, kesho lile na wakati mwingine huwa wanapanga ziara huku mtu m=full]2966364[/ATTACH]
Pia soma: Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25
Sasa ndio wadanganye kwamba hawana magari?!Nawajuwa hao,na wao wanataka kuninginia kwenye v8 cruser mayai full kiyoyozi
Ova
Mbunge, diwani na Mwenyekiti hawako chini ya mkuu wa Wilaya.Mkuuu kuna na mbunge yupo chini yake,kuna na diwani yupo chini ya mbunge,Kuna na mwenyekiti yupo,kuna mtendaji yupo,kuna na barozi aka mjimbe wa nyumba kumi...
Namanisha vyeo boss kwamba hao wote unawakuta let say wilaya ya Ubungo.Mbunge, diwani na Mwenyekiti hawako chini ya mkuu wa Wilaya.
Cheo cha MACHAWAHiki cheo kifutwe tu, cha kazi gani?
Hata mm huwa najiuliza sana hili swali. Kwann Wakuu wa, wilaya, mkoa wakurugenz wa, halmashauri wanapewa magari ya thamani sans? Halafu baada ya, muda mfupi yanauzwa kwa kile wanachoita disposal. Kwann wasinunuliwe Krueger? Harrier? Pesa inayobaki tuna Jenga mashule, y unaongea ajira. Kwann tu wapumbavu hivi?Kwa nini wasinunuliwe RAV 4??
Hiki cheo kifutwe tu, cha kazi gani?