Sophia Mfaume: Wakuu wa wilaya hatuna Magari, tunaazima Halmashauri na kwa RAS

Kila mwaka wa Fedha zaidi ya 500b zinatengwa/pitishwa kwaajili ya manunuzi ya magari iweje huyu Dc aseme wanakosa magari wanaazima kwani yote mbona ni ya umma
 
Nawajuwa hao,na wao wanataka kuninginia kwenye v8 cruser mayai full kiyoyozi

Ova
Sasa ndio wadanganye kwamba hawana magari?!
Hii nayo ni kufuru ya aina yake, yaani kwake (na wenzake) 'mkonga' sio gari. Yaani kuwa na 'mkonga' ni sawa na kutokuwa na gari!! Hovyo kabisa!!
 
Mkuuu kuna na mbunge yupo chini yake,kuna na diwani yupo chini ya mbunge,Kuna na mwenyekiti yupo,kuna mtendaji yupo,kuna na barozi aka mjimbe wa nyumba kumi...
Mbunge, diwani na Mwenyekiti hawako chini ya mkuu wa Wilaya.
 
Kwa nini wasinunuliwe RAV 4??
Hata mm huwa najiuliza sana hili swali. Kwann Wakuu wa, wilaya, mkoa wakurugenz wa, halmashauri wanapewa magari ya thamani sans? Halafu baada ya, muda mfupi yanauzwa kwa kile wanachoita disposal. Kwann wasinunuliwe Krueger? Harrier? Pesa inayobaki tuna Jenga mashule, y unaongea ajira. Kwann tu wapumbavu hivi?
 
Wanunuliwe pikipiki mabaja makubwa yale wasitusumbue. Au kama mnaona hela ipo sana basi nunueni hata helkopta mlale angani
 
Back
Top Bottom