Soon wanasuguana hapo juu

Natamni ningekuwekea barua ya US wakimtaka mtu wao na kulaani mechanism ilotumika kutangaza kwamba imewachafua. Ujinga ni kudhan kila kitu mnajua, ni propaganda na kujifanya mnaweza sana kukonects dots. Kumbe kichwani mmejaa vinyesi
Achana nao hao hawajui chochote
 
Wote wawili hawana sifa!!
U pm na umakamu unakutoa kwenye equation ya kuupata u namba moja!!

Wasahau,hata mama alilazimisha TU ni kinyume na desturi!

Hatutakubali kuvunjwa kwa miiko ya chama!mwenyekiti aliepo tulimstahi tu baada ya kuituliza nchi kipindi cha mpito tulipofiwa tukamzawadia awamu hii!!

HAO HAWAPO NA HAWATAKUWEPO KWENYE MFUMO!!

tuendeleze utu uliopo kwenye ilani ya chama chetu
 
Mambo ya destuli yalikuwa zamani Mzee. Sasa hivi hakuna ramli za destuli za chama.
 
Hata hivyo yule anaezungumzwa sana na Pascal anaweza kuupasua huu mwamba. Kijana mmoja kutoka Pwani ana kete nzuri tatizo dini.
 
Kiti kipi sasa?
 
Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Kwa hiyo ligi bora mkatoliki wa mchongo, huyo rais wa mawe ni mbwa mwitu aliye jivika ngozi ya kondoo
 
Kuna mmoja anawataka mashabiki wa magufuli wote wawe wake na mwingine anataka kujijenga kwenye mioyo ya GENZ shida wananchi waewashtukia kua wote wawili wapo kwenye CLUB MOJA NA KOCHA WAO MMOJA NA JEZI YAO MOJA
 
mna uhakika bado ni chama chenu?,kwa sasa nyie ni sawa na kete za draft,mnatumika na mtu kutimiza lengo lake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…