Sony Xperia Z1 ya dili

Sony Xperia Z1 ya dili

Retreat

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
229
Reaction score
72
Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.
 
Unaposema ya dili unamaanisha nini?
 
Nadhani una hamu ya kwenda kumsalimia Bw. Nguza Viking na mwanawe...safari njema-
 
Unaposema ya dili unamaanisha nini?

Ninaposema ya dili namaanisha labda unafanya kazi kwenye duka la simu hivyo umepiga mojawapo wakati mzigo unaingia ama umepewa na bosi na wewe hutaki kuitumia, kitu kama hicho. Vp umenielewa #Kyenju ??
 
Nadhani una hamu ya kwenda kumsalimia Bw. Nguza Viking na mwanawe...safari njema-

Hivi wewe Kapongo hujawahi kununua simu ya dili? Sio lazima iwe ya wizi jamani. Ebo!
 
Wadau natafuta mtu mwenye simu aina ya Sony Xperia Z1 ya dili, kiwango chanu ni 600,000 Tsh. Ni pm kama unayo ama unajua nitaweza ipata wapi.

Mkuu hizo mkononi zinasimama nane na nusu hii bei labda iphone 5 na blackberryz10

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Poa
Code:
HHHK
nitajiongeza hadi 800,000 Tsh, nipe mchongo sasa.
 
Hivi wewe Kapongo hujawahi kununua simu ya dili? Sio lazima iwe ya wizi jamani. Ebo!

Wacha kulainisha lugha,deal lazima iwe ni simu iliyopatikana isivyo halali.
Ni kinyume na sheria za nchi na pia sheria za Mungu
Kila la heri!!
 
Sasa unataka watu wawaibie waajiri wao waende kuwauzia watu kama wewe?
 
Ndo maana tunayoitarajia kumbe wewe ndo unachangia. Mbaya ni pale watakapoiba simu ya ndugu yako na kukuuliza wewe
 
Back
Top Bottom