Kuna redio za SONY zinauzwa Kariakoo karibu na maduka yanayotazamana na Kongo bei wamesema ni 85,000/=. Ni nzuri lakini tatizo ni kubwa size kama inch 6 kwa 4 (Nadhani haiingii mfukoni hiyo!). Duka lenyewe ni wakala wa SONY na wana vitu vingi kama Camera, TV n.k. Ukipenda nenda au mtume mtu akuangalizie.