Nilishangaa hata mimi lakini unapikuta watu wamefanya tafiti halafu unakuta tafiti za UN unasema nini? Hata Mbeya na Tanga zilifikirisha zilipokuwa majiji.
Tanga Ilistahili, Japo baadae ilipitia kipindi cha kudumaa lkn sasa hivi ndio mji unaokuwa kwa kasi Tanzania kijumla ikiosabaishwa na
fursa za bandari, Miradi ya mafuta, viwanda, Saruji
Bandari imeifungua sana tanga fanya siku uwende utajionea,