Umesahau ni ile maktaba na shule ya vipaji maalumTunajenga Chato International Airport kwanza generators hospitali subirini baada ya uchaguzi 2020
Ajiongeze vipi, wewe unaona ni sahihi hospitali ya mkoa/rufaa haina hata generator?Imagine umeme ukatike pakiwa na mgonjwa ICU?Ooh jamani
Mgonjwa anaendeleaje?
Yaani huyo Daktati ameshindwa kujiongeza hata kidunchu akamuhudumia awezavyo.. duh
Wewe utatekwa halafu watekaji wanywe viagraTunajenga Chato International Airport kwanza generators hospitali subirini baada ya uchaguzi 2020
Ajiongeze vipi, wewe unaona ni sahihi hospitali ya mkoa/rufaa haina hata generator?Imagine umeme ukatike pakiwa na mgonjwa ICU?
Inabidi hao walioanishwa hapo juu wajiongeze kwanza.
Cambodia!!, Frankfurt!!Blah blah blah 💀
Gridi ya taifa wengi wanasema unasumbua sana naona hizi ni dalili tu na salamu kutujulisha yajayoNimeishi songea 3 years ,kati ya maeneo yasiyokosa umeme muda wote ni hapo hospitalin na songea girls,labda kama utaratibu umebadilika ,hata hivyo ule mpango wa kuiunganisha songea kwenye gridi ya taifa ushamalizika?
Safi sana Dr naunga mkono hojaMaeneo mengi yaliokumbatia CCM hali ndo iko ivo. Hawajui hata kutoa upendeleo kwa tawala zao, kazi kujaza matumbo yao tu. Lakin kama daktari siwez kurisk maisha yang kwa kutibu mgonjwa gizani tena mgonjwa mwenyew anableed majeraha mengine sio rahis kuyaona gizan. Kwa iyo na muunga mkono huyo daktari
Wananchi wa songea na watanzania wengine tunalipa dhambi ya kua na mawazo mgando, kukmbatia chama kimoja huk vingne vikinyanyaswa ilihali tulipitisha wenyew tuwe na vyama vingi.
nyie ndo mnaolirudisha nyuma hilo taifa la tanzagizaOoh jamani
Mgonjwa anaendeleaje?
Yaani huyo Daktati ameshindwa kujiongeza hata kidunchu akamuhudumia awezavyo.. duh
DahUmeme umekatika kote usiku huu au ni huku Mkoani kwetu
HakikaSidhani kama hospital ya mkoa ikose jenereta ya dharura!
KumbeVipa umbele vyetu kununua Ndotomsitari (Dreamliner) kwa ajili ya kuendea Mumbai kuongeza watalii wa kihindi!
KweliDaktari alikusudia kufikisha ujumbe, Dania na nchi ijue na ujumbe umefika..... Wacha waheshimiwa waendelee kuunga juhudi huku wananchi wao wakiteseka..... Ulituka kujua mambo yalivyo nenda hospital, polisi na mashuleni ndiyo utaona Maisha halisi ya mtanzania
Ha ha ha ha nimeelewa sana. Jamaa daktari akitoa huduma gizani hashangailakini cha kushangaza daktari wa zamu alimjibu hawezi kumtibu kwasababu ya giza
Nafikiri ingeshangaza kama angeweza kutoa huduma gizani.