Songea: Daktari agoma kumtibu mgonjwa hadi umeme uwake kwanza

Ooh jamani

Mgonjwa anaendeleaje?

Yaani huyo Daktati ameshindwa kujiongeza hata kidunchu akamuhudumia awezavyo.. duh
Ajiongeze vipi, wewe unaona ni sahihi hospitali ya mkoa/rufaa haina hata generator?Imagine umeme ukatike pakiwa na mgonjwa ICU?

Inabidi hao walioanishwa hapo juu wajiongeze kwanza.
 
Ajiongeze vipi, wewe unaona ni sahihi hospitali ya mkoa/rufaa haina hata generator?Imagine umeme ukatike pakiwa na mgonjwa ICU?

Inabidi hao walioanishwa hapo juu wajiongeze kwanza.

Blah blah blah 💀
 
Hapo bajeti ya petroli imeliwa kama kawa
icu wagonjwa lazima wafe.kuna mgonjwa alikuwa huko toka juzi anatumia hizo mashine.leo asubuhi kafariki cjui kama siyo sababu ya hizo mashine kutofanya kazi kwasababu ya umeme kutokuwepo.
 
Mimi umeme ukikata mgonjwa ntakayemhudumia ni mzazi tu maana labour ikianza hawezi jizuia....wengine watanisamehe kwa kweli maana waweza dhani unaokoa kumbe ikawa majanga
 
Na hili la kukatika umeme Songea ni tatizo na lipo wazi. Na hivi wanatuingiza gridi ya taifa wakati wengi wanasema umeme wa gridi ya taifa unasumbua sana kukatikakatika. Bora watuachie tu umeme wa jenereta
 
Nimeishi songea 3 years ,kati ya maeneo yasiyokosa umeme muda wote ni hapo hospitalin na songea girls,labda kama utaratibu umebadilika ,hata hivyo ule mpango wa kuiunganisha songea kwenye gridi ya taifa ushamalizika?
Gridi ya taifa wengi wanasema unasumbua sana naona hizi ni dalili tu na salamu kutujulisha yajayo
 
Maeneo mengi yaliokumbatia CCM hali ndo iko ivo. Hawajui hata kutoa upendeleo kwa tawala zao, kazi kujaza matumbo yao tu. Lakin kama daktari siwez kurisk maisha yang kwa kutibu mgonjwa gizani tena mgonjwa mwenyew anableed majeraha mengine sio rahis kuyaona gizan. Kwa iyo na muunga mkono huyo daktari

Wananchi wa songea na watanzania wengine tunalipa dhambi ya kua na mawazo mgando, kukmbatia chama kimoja huk vingne vikinyanyaswa ilihali tulipitisha wenyew tuwe na vyama vingi.
Safi sana Dr naunga mkono hoja
 
Daktari alikusudia kufikisha ujumbe, Dania na nchi ijue na ujumbe umefika..... Wacha waheshimiwa waendelee kuunga juhudi huku wananchi wao wakiteseka..... Ulituka kujua mambo yalivyo nenda hospital, polisi na mashuleni ndiyo utaona Maisha halisi ya mtanzania
Kweli
 
lakini cha kushangaza daktari wa zamu alimjibu hawezi kumtibu kwasababu ya giza

Nafikiri ingeshangaza kama angeweza kutoa huduma gizani.
Ha ha ha ha nimeelewa sana. Jamaa daktari akitoa huduma gizani hashangai
 
Back
Top Bottom