Songea boyz box 2 group la WhatsApp from 1950-2017

Songea boyz box 2 group la WhatsApp from 1950-2017

Msomba Baraka

Member
Joined
Feb 22, 2017
Posts
72
Reaction score
35
Sambaza links tukumbushane magumu na mazuri tuliyopitia pale
Class of 2013 - 2015
 
Duh nimepita hapo 2004- 2007 hahaa nimejifunza mengi sana iyo shule
 
Mayai
Milango Tisa
Binti bullu
Madishi
Bila kusahau wanyama(chawa )hahaa
 
Maji yalikuwaga shida kipindi flan shadufu imekufa tunaenda chota maji mtoni yanavyura dah yale maisha aseh

Mayao tulikuwa tu nanunua sh 10 sahani ya wali 250/=

Nimeenda sana bustani chunga sana ng'ombe tulikuwa tunaenda na chupa zetu tunakamua maziwa tunajaza tunaficha tukirudisha tunapewa tena hahaaaa
 
Kuna jamaa alikuwa anaitwa pumbu hahaaaaa
 
Back
Top Bottom