Songas to buy Dowans generators? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Songas to buy Dowans generators?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semilong, Mar 21, 2009.

 1. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  2009-03-21 - ipp media
  By Bilham Kimati

  As the heated debate on whether the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) should or should not buy the Dowans Power Plant comes to a close, it has been hinted that Songas Power Company is now the potential buyer of the machines, The Guardian has learnt allayed fears over power rationing should the weather forecasts behave accordingly.

  shareholders wa songas ni

  1.Globeleq
  2.Tanzania Petroleum Development Corporation - TPDC (100% mali ya umma)
  3.Tanzania Electricity Supply Company Limited - TANESCO (100%mali ya umma)
  4.Tanzania Development Finance Company Limited - TDFL (32% mali ya umma)
  5.FMO YA HOLLAND

  >>>>> Songas Limited shareholders <<<<<

  kutokana na hao shareholders hapo juu, TPDC, TANESCO NA TDFL ni mali ya yetu wenyewe hili sio GOLI LA KISIGINO KWELI?

  SIO SERIKALI INATAKA KUNUNUA KUPITIA MLANGO WA NYUMA?

  "SAY NO TO SONGAS"


  kama kuna mtu anajua % ya shares za songas, kwa kila kampuni tuwekee please
   
  Last edited: Mar 22, 2009
 2. C

  Chuma JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mhh...wakilitaka Jambo watu....!!!!
   
 3. Makaayamawe

  Makaayamawe JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2009
  Joined: Feb 21, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hawa waache tu watuchezee. Mapinduzi hulazimishwa na walioko madarakani na inaelekea waliopo wanajaribu kulazimisha wapinduliwe.
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Ving'ng'anizi hawa -- hadi aibu! Hivi hakuna serikali hapa?
   
 5. Monsignor

  Monsignor JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 523
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kasoro hapa hutajajua his public companies wana hisa kwa asilimia ngapi.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hao wanahisa wengine watakaa kimya tu serikali ikinunua hiyo mitambo kwa kupitia kampuni zake (ie TPDC)
  serikali sio ndio italipa
   
 7. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Semilong,

  Unachotakiwa kutupatia kama unaweza ni je hayo makampuni matano kila moja lina shares asilimia ngapi?

  Hata kama government wana shares kwenye hizo kampuni zingine lakini shares zao ni chache kwenye Songas, serikali haiwezi kulazimisha manunuzi. Kumbuka hizo kampuni mbili zingine sio za Watanzania.

  Huenda Zitto alikuwa sahihi kwi kwi kwi!!
   
 8. t

  tk JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Iko mbaya gani. Shareholders watatu in red hapo juu ni private investors. Kwa hiyo Songas inaendesha shughuli zake kwa misingi ya kibiashara siyo kama mashirika yetu ya umma yanavyoendeshwa kwa misingi ya kisiasa.

  Kufuatana na hali ya umeme nchini, this is a good business opportunity for anyone with brains kununua hiyo mitambo maana itahitajika tu hata Tanesco wanunue mitambo hiyo mipya.

  Hapo Tanesco itapoanza kuwalipa capacity charges na Songas kuongeza faida yao, ndio wale wanaopinga ununuzi wa mitambo ya Dowans watapoona makosa waliyoyafanya. Na Bunge litaangalia hivi hivi bila kuwa na lolote la kufanya kwani halima mandate ya kuingilai utendaji wa Songas.
   
 9. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM wanatafuta pesa za kampeni 2010 kwa udi na uvumba.
   
 10. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huu ni uhujumu unaofanywa na TANESCO na baadhi ya watendaji wa selikari wa waziwazi. Toka mwaka jana hawajataka kununua mitambo mipya. Wanavuruga taratibu ili waendelee kujustfy mambo yao ya kifisadi. Kama watendaji wa TANESCO wako serious wangesha omba kuagiza mitambo mingine mipya toka mwaka jana walipositisha mkataba na Dowans. Lakini kwa vile mikakati iliyopo ni kuhakikisha dowans na wapambe wao wanarudi kwa mlango wa nyuma basi wamebaki watu wa kukaa tuu na kutushtukiza.

  Lakini muda si kitambo kitaeleweka tu.
   
 11. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #11
  Mar 22, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Du!!! nitafurahi sana mkipigwa bao... maana mumezidi siasa... Songas kununua mtambo ni haki yake... ninyi si munanunua umeme tu... sio kazi yenu kujua songas anazalisha kwa maji, upepo au kwa uchawi...

  Wewe unasosema shareholders... sijui TPDC, TANESCO ... etc unatakiwa kusema wanamiliki share ngapi?

  Kwa vyovyote vile watakuwa minority shareholder ambao hawana maamuzi yoyote...

  Ndio muonyeshe kwamba mnapenda siasa sana.
   
 12. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Too bad if it is true. The two shareholders however small their shares are will assure the other that do not worry how much you pay, the government will ensure that your money gets back. We will ensure that we buy electricity from you, with the high capacity charges already under the contract. The other share holder will be quite and let the government do the rest. Paying the gadem DOWANS. Who is this DOWANS who has to be paid at any cost any way? He must be at state house, he is the president by proxy

  Asha
   
 13. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  ndio ni kampuni ambayo inaendeshwa kwa faida lakini lazima ujue umeme ni secta ambayo muuekezaji akitaka kuwekeza lazima ainyenyekee serikali. hao songas wakitaka kufanya expansion (kuongeza MW inazo supply tanesco) au kupata ardhi mpya ya gesi ni lazima warudi kuinyenyekea serikali (legalize corruption "lobbying").

  serikali kupitia TPDC, TDFL na TANESCO wanaweza kulipia manunuzi ya mitambo ya dowans kwa kutumia jina la songas. hao mashareholders wawili hawataongea kitu ili mradi tu hao hawalipii. wanajua wakipiga kelele tu kupata ardhi mpya itakua ndoto au contract yao kuongezwa itakuwa kitendawili.
  bomba la gesi kutoka songosongo mpaka dar ni la TZ, na serikali inaweza kulikodisha kwa mwekezaji mwingine na kampuni zote zinazochunguza gesi maeneo hayo zimeruhusiwa kutumia hilo bomba, kwa hiyo songas hayuko peke yake.
  capacity charge za songas bado zipo juu ukizingatia bomba ni la kwetu
  kama ardhi ya gesi ni ndoto na contract ni kitendawili faida itaokea wapi?

  tahadhari: hamna watu ambao wako corrupt kama wawekezaji wanajali maslahi yao tu
   
  Last edited: Mar 22, 2009
 14. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Yeah, that was the plan "B" - ndio maana Tanesco wakajitoa haraka haraka tulipopiga kelele. Mitambo ya Dowans lazima inunuliwe - kwani ipelekwe wapi ? Shylock wants his pound of flesh and in Tanzania, he will definitely get it - moreover ahadi ni deni !!:mad:

  I concur - SAY NO TO SONGAS
   
 15. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Semilong,

  Unarahisisha mambo utafikiri hiyo kampuni ya kuuza nyanya?

  Hayo makampuni mengine yana shareholders wengine wengi tu, wanafuata corporate governance na accounting principles. Unachokisema kinawezekana tu kwenye mashirika yetu ya umma yanayoendeshwa kisiasa.

  Kama Songas watanunua huo mtambo ni kwasababu wameona opportunity ambayo sisi hatukuiona na wameamua kuitumia. Its the economy, stupid!
   
 16. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #16
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Unaona ujanja umezidi sana na dau linapandishwa sasa kwa supply ya huo umeme. Awali ingelikuwa biashara ya direct Tanesco - Wateja but now Songas - Tanesco - Wateja. Tumesema sana but solution ni hio mitambo ibaki Tz tu. Sasa inaonekana itabaki kwa gharama ya wateja wa Tanesco kwasababu Songas iko in between nayo lazima wapate faida if its a private or SU company.
   
 17. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #17
  Mar 22, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Dada Asha,

  Huenda prof. wako alikuwa sahihi kwi kwi kwi!!
   
 18. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
 19. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2009
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
 20. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  tk.... hivi haya majenereta yenu mmekosa kabisa sehemu ya kuyauza??
   
Loading...