angedizzle
JF-Expert Member
- Aug 8, 2011
- 590
- 505
Hebu weka kazi yake mojawapo tumskie
Hebu weka kazi yake mojawapo tumskie
Kikosi cha mizinga sio Kwanza Unit...Hashim Dogo sijawahi kusikia Ngoma yake hata moja. Japo najua alikua member wa Kwanza unit na Ngoma pekee ya Kwanza unit nayoijua ni Ile "msafiri" sasa ni ngumu kusema hashimu dogo kwenye upande wa lyrics alikua mnoma kiasi gani Hadi bwana songa amtunuku ufalme wa rymes... Anyway ngoja wakongwe zaidi waje
acha uwongo,lini dogo mwendawazimu akawa kwanza unit?Ungesema kikosi maybeHebu weka kazi yake mojawapo tumskie