Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,297
- 10,981
Imani ni bora kuliko dini nashangaa Sana imekuwa bora kuliko..naipenda Sana hii ngoma niwekee audio yako video inakula mbShukrani kwa Mungu kwa uwepo wa hiki kifanyikacho duniani japo kwenye maisha kuna mambo mengi yanayohusisha watu wengi ndani yake ila kuna muda unaweza ukajihisi mpweke katikati ya kundi la watu,Hisia Za Moyoni ni wimbo unaolezea mengi. Tazama , comment, share na bilakusahau subscribe account yangu kuendelea kufuatilia mengi kutoka kwangu.
Asante.
Facebook : Songa (official page)
Twitter : @NiiteSonga (Official page)
Instagram : @NiiteSonga (Official page)
Enjoy...!Imani ni bora kuliko dini nashangaa Sana imekuwa bora kuliko..naipenda Sana hii ngoma niwekee audio yako video inakula mb