Somo: Maana halisi ya neno linalotumiwa na Wasanii wa kizazi kipya FREE STYLE.

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Habari wakuu Leo naomba nitoe somo kidogo kuhusu maana ya neno FREE STYLE...Kwa wachache Wasiojua,

FREE STYLE ni neno linalotokana na Bleending word formation fomular,

Yaani ni neno linalotokana na muungano wa maneno mawili tofauti, yanayoungana na kuunda neno moja, kwa kiswahili mfumo huu tunauita njia ya "kuambatanisha maneno"

Yaani neno FREE lenye maana ya huru, na

STYLE lenye maana ya Mtindo..

ambapo kijumla tunaweza kuita ni mtindo huru (free style)

Ambapo mtindo huru katika swala la uandishi wa ushairi,

ambao wimbo ni moja ya kipera cha ushairi, Mtindo huru hutumika (Free style) Maana halisi ya Mtindo huru (Free style) inamaanisha mtindo wa kutunga shairi ambalo halifungamani na kanuni na sheria pamoja na taratibu za uandishi wa ushairi na ndio maana halisi ya neno Mtindo huru (free style)...

Nimeamua kutoa somo hili baada ya kusikia Mtangazaji mmoja akipotosha umma kuhusiana na Dhana ya Free style, akiwa na maana kuwa free style huimbwa na wana hip hop tu!

Pia wengi hapa wanachanganya mambo kwani wanaamini kuwa free style ni Uimbaji unahusisha tungo za papo kwa papo kitu (Mceiing) ambacho si kweli...

Ukweli nikwamba unaweza kuandika wimbo wako na bado ukawa umetumia mtindo huru yaani (free style) pale tu utakapokuwa hujazingatia sheria, kanuni na taratibu za uandishi wa Shairi/ wimbo ambazo zinafahamika kuwa ni utosherevu na uzingatiaji wa vina na mizani,

Naomba ifahamike kuwa waimbaji karibia wote wa nyimbo za kizazi kipya wanaimba mziki wa Free style....

Mfano nyimbo nyingi za Msanii Diamond ni za aina ya Free style na pia ni miongoni wa Wasanii wanaoimba free style...

Naomba atakaepinga aje na vigezo vya kiisimu katika lugha,..

Hivyo ni vyema tukatambua kuwa wasanii wanaotunga nyimbo zao papo kwa papo hatuwaiti magwiji wa free style, maana ikiwa ametunga papo na kwa papo na amezingatia sheria za utunzi wa shairi basi utenzi huo hautoitwa Free style wala yeye hawezi kuitwa mtunzi wa Free style...

Kiisimu inaruhusiwa kukopa neno kama lilivyo katika lugha moja na likatumiwa katika lugha nyingine ila neno hili la Free style lina maaana katika kiswahili hivyo haliwezi kusimamia maana ya utunzi wa papo kwa papo.

Somo la leo By Mwl Youngtozy!
 
Habari wakuu Leo naomba nitoe somo kidogo kuhusu maana ya neno FREE STYLE...Kwa wachache Wasiojua,

FREE STYLE ni neno linalotokana na Bleending word formation fomular,

Yaani ni neno linalotokana na muungano wa maneno mawili tofauti, yanayoungana na kuunda neno moja, kwa kiswahili mfumo huu tunauita njia ya "kuambatanisha maneno"

Yaani neno FREE lenye maana ya huru, na

STYLE lenye maana ya Mtindo..

ambapo kijumla tunaweza kuita ni mtindo huru (free style)

Ambapo mtindo huru katika swala la uandishi wa ushairi,

ambao nyimbo ni moja ya kipera cha ushairi, Mtindo huru hutumika (Free style) Maana halisi ya Mtindo huru (Free style) inamaanisha mtindo wa kutunga shairi ambalo halifungamani na kanuni na sheria pamoja na taratibu za uandishi wa ushairi na ndio maana halisi ya neno Mtindo huru (free style)...

Hongera mwl. wa Kiswahili kwa 'darasa' zuri .... hebu wakumbushe pia wasitumie neno NYIMBO katika eneo la WIMBO ... mf. nyimbo gani uipendayo toka kwa msanii Diamond? ...

By the way nini maana ya KIPERA? ... Kiswahili kigumu jamani ...
 
Yaani mimi huwa naona bandiko halina maana. Nikiona mtu anayejitapa kufundisha halafu ndani ya maelezo yake kunakuwa na makosa mengi.
Mfano: Unaposema nyimbo badala ya wimbo moja kwa moja hoja yako yote ni mfu.
Ukitaka kuelimisha hakikisha mambo yote yanakuwa sawa.
This thread is useless
 
Ni useless kwako, sio kwa Wengine. Kwani nani kakulazimisha kuisoma ??.
 
Yaani mimi huwa naona bandiko halina maana. Nikiona mtu anayejitapa kufundisha halafu ndani ya maelezo yake kunakuwa na makosa mengi.
Mfano: Unaposema nyimbo badala ya wimbo moja kwa moja hoja yako yote ni mfu.
Ukitaka kuelimisha hakikisha mambo yote yanakuwa sawa.
This thread is useless
Hayo ni matatizo madogo rafiki isitoshe yeye anatoa marekebisho ya kimaana kukosea neno haijabadili lengo alilokusudia kwetu sisi tusiojua haya mambo,
 
Yaani mimi huwa naona bandiko halina maana. Nikiona mtu anayejitapa kufundisha halafu ndani ya maelezo yake kunakuwa na makosa mengi.
Mfano: Unaposema nyimbo badala ya wimbo moja kwa moja hoja yako yote ni mfu.
Ukitaka kuelimisha hakikisha mambo yote yanakuwa sawa.
This thread is useless
Wivu haufichiki
 
Hongera mwl. wa Kiswahili kwa 'darasa' zuri .... hebu wakumbushe pia wasitumie neno NYIMBO katika eneo la WIMBO ... mf. nyimbo gani uipendayo toka kwa msanii Diamond? ...

By the way nini maana ya KIPERA? ... Kiswahili kigumu jamani ...
Kipera maana yake ni Tawi au kipengere cha kitu fulani
 
Dah! Umenikumbusha mkali wangu Wa free style.

R.I.P Albert Mangwea
Mkuu ikiwa alichokuwa anakiimba kilikuwa hazingatii sheria za uandishi wa ushair hapo naungana nawewe katika kumwita mkali wa free style ila km alikuwa anazingatia kanuni na sheria za uandishi wa ushairi si kweli kuwa mtunzi wa free style
 
Yaani mimi huwa naona bandiko halina maana. Nikiona mtu anayejitapa kufundisha halafu ndani ya maelezo yake kunakuwa na makosa mengi.
Mfano: Unaposema nyimbo badala ya wimbo moja kwa moja hoja yako yote ni mfu.
Ukitaka kuelimisha hakikisha mambo yote yanakuwa sawa.
This thread is useless
Mkuu nadhani hakuna aliekamilika kikubwa na cha msingi ujumbe wangu umefika na wachache wamenielewa ninacholenga ila sijajua unamaanisha nini pale unaposema ninajitapa

Kujitapa= maana yake nini? hapa nilichokiandika kinaeleweka hata na mtoto wa darasa la kwanza sasa unadai najitapa sjajua wewe ulitaka iweje??
 
Hotuba za maraisi nazo huenda zikawa na free style? Au ni music pekee? Mwl msaada
 
Free style maana yake ni Mtindo huru maana ya mtindo huru ni mtindo ambao haujifungi au haufungamani na sheria na kanuni zinazotakiwa kufanyika katika kitu husika

Ikumbukwe kuwa Hotuba, pamoja na risala hivyo tunaviita kitaalamu kama Mazungumzo ya kadamnasi kwa kingereza tunaita (Public speech)

Mazungumzo hayo pia yana Sheria zake au Taratibu zake katika uwasilishwaji wake....

Hivyo kama mtu ameisoma hotuba pasipo kuzingatia kanuni na taratibu zake Basi inaweza kuitwa Ametumia mtindo huru au Free style...
Mfano ikitokea mtu akahutubia jamii ya kiisilam alafu akatumia maneno ambayo hayaendani na Tamaduni za hadhira yake hiyo Mfano akatamka neno "Nyama ya nguruwe ni Tamu basi hatuna shaka kutambua kuwa Mazungumzo hayo yalikiwa yakifree style maana hajazingatia sheria za Mazungumzo hayo.

N.B Mtindo huru unatumika sana katika ushairi kwa kuwa ndio unaonekana kwa asilimia kubwa kuwa waghani wengi hawazingatii taratibu ila ikitokea kama kuna watu wanatoa hotuba bila kufuata sheria na taratibu zake unaweza kuanzisha kitu kipya na aina mpya ya Hotuba huru au (Free style speech) iwapo utatetea hoja yako kwa vigezo mathubuti vya kiisimu
 
Back
Top Bottom