SamuraiJack
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 465
- 744
Je, mtu akichomwa na mwiba uliosababisha deep cut ni vyema akaenda kuchoma sindano ya tetenus au ina apply kwenye misumari tu na vitu vya ncha vyenye kutu kutu?
Na kama mifugo haijahusishwa?Mazingira yanayohusisha mifugo pia