Somo la hisabati ijumaa hii

huyo ni ticha wa bongo fleva au hisabati...?
 
Aisee Hisabati bila hizo kitu kwa watoto wa kibongo haipandi. Nakumbuka std4 kuna mwalimu mmoja alikuwa anakuja na stick km hz za mti mmoja kwa kinyaki tunaita Fyulisi, lazima tebo ikae kichwani.
Hahahaa! amafyulisi...... utwa kumasukulu!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…