Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 119
🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii ndiyo hatua ya maandalizi kabla hujachukua hatua ya kuwekeza.
1️⃣ Kuwa na Mfuko wa Dharura 💼
Kabla ya kufikiria uwekezaji, hakikisha una akiba ya dharura kwa ajili ya matatizo ya ghafla.
💡 Hii inakusaidia kutokuingilia uwekezaji wako wakati wa dharura.
2️⃣ Lipa Madeni Yenye Riba Kubwa 💸
Haina maana kuwekeza kwa lengo la kupata faida ya 10% wakati unalipa mkopo wa riba 25%!
👉 Anza kwa kulipa madeni yenye gharama kubwa.
3️⃣ Weka Malengo ya Uwekezaji 🎯
Unataka nini kupitia uwekezaji?
■ Kukuza mtaji kwa ajili ya mahitaji ya baadae kama kujenga, kulipa ada n.k.
■ Kustaafu kwa utulivu?
■ Au kupata kipato cha kila mwezi? (Monthly cashflow)
■ Kulinda hali yako ya kifedha (wealth preservation).
📝 Malengo yako ndiyo yatakuongoza kwenye aina ya uwekezaji unaofaa.
4️⃣ Fahamu uwezo wako wa kuvumilia hatari za uwekezaji 🚦(Risk tolerance)
Je, unaweza kuvumilia mabadiliko ya soko (kwa kawaida soko huwa lina mabadiliko ya bei, lakini ndani ya muda mrefu mara nyingi huwa nabadiliko huwa ni chanya)
🔍 Hili linategemea umri wako, hali ya maisha, majukumu ya kifamilia, na kipato chako.
5️⃣ Kuwa na Mtazamo wa Muda Mrefu ⏳
Soko huwa lina badilika kutokana na demand & supply (uhitaji na uuzwaji wa aina hiyo ya uwekezaji), lakini ndani ya muda mrefu mabadiliko huwa ni chanya.
⏱️ Wekeza kwa miaka 5 au zaidi ili kuona matokeo mazuri.
Kumbuka:
■ “Hatari ya kweli si kupoteza pesa, bali ni kutowekeza kabisa.”
■ “Wawekezaji makini hujiuliza: Je, fedha yangu itakuwa salama hapa?”
🔄 Hitimisho la somo
Usiwekeze kwa msisimko au kushawishiwa tu na ahadi za faida kubwa.
✅ Jipange. Jiandae. Jifunze.
Ukizingatia haya, utakuwa kwenye njia salama ya kuwa mwekezaji mwenye mafanikio.
Swali la siku:
Usikose kufatilia somo lijalo 🫵
GODFREY DENIS
Co-founder - Millennium Investors Community.
0763721523

Je, ni hatua gani kati ya hizi tayari umeitekeleza? Na ipi bado inakusumbua?
Usikose kufatilia somo lijalo 🫵
GODFREY DENIS
Co-founder - Millennium Investors Community.
0763721523
Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii ndiyo hatua ya maandalizi kabla hujachukua hatua ya kuwekeza.
Kuwa na Mfuko wa Dharura 
Hii inakusaidia kutokuingilia uwekezaji wako wakati wa dharura.
Lipa Madeni Yenye Riba Kubwa 
Anza kwa kulipa madeni yenye gharama kubwa.
Weka Malengo ya Uwekezaji 
Malengo yako ndiyo yatakuongoza kwenye aina ya uwekezaji unaofaa.
Fahamu uwezo wako wa kuvumilia hatari za uwekezaji
(Risk tolerance)
Hili linategemea umri wako, hali ya maisha, majukumu ya kifamilia, na kipato chako.
Kuwa na Mtazamo wa Muda Mrefu 
Wekeza kwa miaka 5 au zaidi ili kuona matokeo mazuri.
Hitimisho la somo
Jipange. Jiandae. Jifunze.