Somo kwa akina dada wa kileo

Somo kwa akina dada wa kileo

Wanaume mnatuwaza jamani..mnatuponda hapohapo bado mwatuhitaji mnatuanika hadharani hapohapo mwatutaka! Hivi tukigoma wanawake dunia nzima si mtavunja rekodi kwa maajabu? Haya tubadilike wote men and woman.Nataman kuona mwanaume akilia Lol!
 
Yah ni kweli wote yatupasa tubadili tabia na mwenendo japo akina dada mwahitaji mageuzi zaid ya kifikra na kimtazamo na mjithamin na muilinde hadhi na utu wenu
 
kaka man mudi mie hao nina bahati nao sana tena sana, nishawamega sana na kusepa, na nikupe siri ya hawa, anapokubali ndo pale pale unachinja, ukijifanya na wewe kuweka appointment, humpati tena ndio danadana zinaanzia hapo, hiyo ndo siri ya hao viumbe,
 
nimekupata mkuu
 
Kweli kabisa mkuu,nilidhani demu kifaa wenye sifa za urembo,kumbe demu kichaa mwenye wingi wa skendo.
 
Back
Top Bottom