Somo kutoka kwa Gwajima

Somo kutoka kwa Gwajima

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,429
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
 
Hawezi samehewa huyu pimbi ,ni lazima ajue kuwa kuna mamlaka ambayo anatakiwa kuiheshimu atake asitake.
 
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
Mpumbavu wewe. Gwajima kakosea nini ili asamehewe? Hii serikali inayoua na kulawiti raia huku inaamrisha waathirika kumsifia Samia ndiyo unaitetea?
 
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
Wanaotaka asamehewe ...... Yeye mwenyewe hawezi kuomba msamaha.

Mama kamfichia chakula .si unawajua wakina mama ?au unataka apige kikofi😁
 
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
Kupinga utekaji ni kosa mpaka aombe kusamehewa
 
Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
HAPA UTAJUA KWAMBA TAIFA HILI HALIWEZI KUENDELEA MPAKA BAADHI YA VIONGOZI WA CCM AMBAO HAWATAKI KUAMBIWA UKWELI KWA SABABU YA MASLAI YAO BINAFSI (UFISADI) KWASASA TUNASIMAMA NA GWAJIMA MZALENDO NA MPENDA HAKI ZA WATANZANIA
 
Back
Top Bottom