kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,760
- 20,633
Duh pole Sana , japo hapo mwishoni sijakuelewa vyema ! Ni kwamba ulikuwa na mtu wako ukamsimulia Hilo tukio akawa mwoga na Kwako akawa haji tena ?Mi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani[emoji15] nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure[emoji849]....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.[emoji57]sijui aliwaza Nini[emoji848][emoji1751]
Kuna jambo tuliongea na mkuu msaidizi kuhusu Mapenz Sasa alikuja kupata jibu la yes au no ....si unajua Tena Yale majibu ya subiri nijifikirie,kufika ndo anakuta napambana na kifutu Wakati yeye hata akimwona nyoka yule wa kijani anakimbia....hakunitaka Tena aiseeDuh pole Sana , japo hapo mwishoni sijakuelewa vyema ! Ni kwamba ulikuwa na mtu wako ukamsimulia Hilo tukio akawa mwoga na Kwako akawa haji tena ?
Wewe ni me au Ke?Kuna jambo tuliongea na mkuu msaidizi kuhusu Mapenz Sasa alikuja kupata jibu la yes au no ....si unajua Tena Yale majibu ya subiri nijifikirie,kufika ndo anakuta napambana na kifutu Wakati yeye hata akimwona nyoka yule wa kijani anakimbia....hakunitaka Tena aisee
Mwanamke mpenda wanyama vibaya mno but nyoka amenishinda naona hapendeki yule.mkorofi mnoWewe ni me au Ke?
Duh hapana kwa kweli wewe ni jasiri sana!Mwanamke mpenda wanyama vibaya mno but nyoka amenishinda naona hapendeki yule.mkorofi mno
Nimepitia maisha hayo ndo yamenifanya nisiogope wanyama wasioumiza kirahisi.....Duh hapana kwa kweli wewe ni jasiri sana!
😳😳Duuh madam nimekunyooshea mikono kama hilo tukio ni kweli!! Wewe ni kanda ya ziwa? Duuh kweli we ni BeesmomMi kituo changu Cha kwanza Cha Kaz kilikuwa Chaka huko iringa,nipo sebuleni namwona huyo kajaa,nikaendelea kula ugali(kifutu afu black) nimwangalie amechagua kukesha wapi sikuhiyo...namwona huyo anaingia chumbani😳 nikajisemea onhoo,wewe utakuwa dume si bure🙄....nilichofanya ni kutoka pale Kwa kunyata na kumzungukia Kwa nyuma...lilikuwa ni suala la kumkamata shingo chap na kumkaba Kwa nguvu....akawa anafura huku kazungusha mwili wake mkononi....roho ikaniambia,hii ngoma ukilegeza tu mkono umekufa....so nikafanya kutaiti Kwa nguvu Ili akose pumzi ...nikaona analegea na mwili wake unatoka mikononi nikajua tayari hapa...nikamtupia chini puu,we bhana wee,Kumbe alikuwa ananizuga tu ili nimwachie...alivyokimbia nami nikakimbilia ndani kujifungia.sijui alikimbilia Chaka gani....lile tukio alilishuhudia mkuu msaidizi ...alikuja kuulizia ombi la kupewa game aliloomba Jana yake....nakumbuka hadi nahama pale hakuwa kanyaga Tena kwangu hata kumchekea alikuwa hataki nimchekee.😏sijui aliwaza Nini🤔🤦
Swali la kizushi asingeogopa nyokaKuna jambo tuliongea na mkuu msaidizi kuhusu Mapenz Sasa alikuja kupata jibu la yes au no ....si unajua Tena Yale majibu ya subiri nijifikirie,kufika ndo anakuta napambana na kifutu Wakati yeye hata akimwona nyoka yule wa kijani anakimbia....hakunitaka Tena aisee
Dah! asee hata mimi usingewahi kuniona tena😁Mwanamke mpenda wanyama vibaya mno but nyoka amenishinda naona hapendeki yule.mkorofi mno
Hata mimi ningekimbia kama huyo makamu, kwa ujasiri huo sidhani kama utasita kumshika 'abdalla kichwa wazi' wangu na kumfyekelea mbali siku tukigombana.🤣🤣🤣Ndo ukweli
We mwanamke jasiri,natamani ungekuwa my wifeMwanamke mpenda wanyama vibaya mno but nyoka amenishinda naona hapendeki yule.mkorofi mno
🤣🤣🤣majambaz siwawez mkuuWe mwanamke jasiri,natamani ungekuwa my wife
lakini utajaribu kupambana nao🤣🤣🤣majambaz siwawez mkuu
🤣🤣🤣Nimecheka kweli yaanHata mimi ningekimbia kama huyo makamu, kwa ujasiri huo sidhani kama utasita kumshika 'abdalla kichwa wazi' wangu na kumfyekelea mbali siku tukigombana.