johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Kiidadi Watumishi wa umma ni wachache na hata kura zao Hazina impact kwa Chama chochote cha siasa iwe Chadema au CCM
Wafanyakazi katika selta binafsi ndio Kundi kubwa na kiukweli ndio wanaoendesha Uchumi unaotengeneza mishahara ya Watumishi wa umma
Wafanyakazi ndio waliodai uhuru nyakati hizo wakati Watumishi wakimtumikia mkoloni
Siku wafanyakazi wakikumbuka kudai haki zao ndipo wanasiasa wataamka kutoka usingizini.
Hapo hata Chadema watatoa matamko kwa sababu Wafanyakazi ni Kundi kubwa
Dominica njema!