Sometimes when we touch..........

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,737
2,000
And sometimes when we touch
The honesty's too much
And I have to close my eyes and hide
I wanna hold you til I die
Til we both break down and cry
I wanna hold you till the fear in me subsides


The best song of this sunday
Happy Sunday pals
 

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Naijua hii, kwakweli huyu Mnaijeria namkubali sana. Hasa ule wimbo wake END OF THE ROAD.
 

M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,737
2,000
Naijua hii, kwakweli huyu Mnaijeria namkubali sana. Hasa ule wimbo wake END OF THE ROAD.
Hebu tafuta version i believe ndio original version ya wimbo huu imeimbwa na Dan Hill
 

Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,158
2,000
We mrembo hujawahi kusikia kwamba KISWAHILI is not a love language? Ukitafsiri hapo tu umeharibu kila kitu aseee
Nway atafsiri kati ya hizi lugha hapa Kichaga, Kimaasai, Kipare, Kisukuma, Kihaya au Kinyakyusa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom