Sometimes love...

Unavyompenda mtu usitegemee anything in return, just love like there is no tomorrow...

Point yangu ni kwamba, usimchukulie mwenzako kama daraja la kukufikisha mahali, kila siku unalia shida wewe tu, usiposaidiwa unanuna. Mbaya zaidi mwenza akiwa na shid unadharau na wala hujigusi. This isnt love
Siku zote kila mtu humtegea mwenzake hakuna aliyeko tayar kuweka moyo rehan
 
Mkuu jifunze kumpenda anayekupenda,
tatizo lenu (wanaume/wanawake) mnapopendwa ninyi hamuwapendi, bali mnawapenda ambao hawawapendi....jifunze kumpenda anayekupenda kwa dhati! Hilo ndiyo suluhisho la mapenzi kwa sasa.

Anyway, pole kwa yote..!
Unawezaje kujua huyu ndo ananipenda kwa dhati mkuu
 
Unawezaje kujua huyu ndo ananipenda kwa dhati mkuu
Ni rahisi sana kujua mtu anayekupenda kwa dhati.
Lakini siwezi kuweka wazi hapa nitawapa hayo maujuzi hao mabazazi na kuendelea kuumiza wengine na wengine kwa kutumia mbinu hizi.
 
Mkuu funguka,nani anatesa nafsi yako
Nimekuwa kwa mahusiano na huyu ndg kwa muda kidogo but he is too a budden to me. Mwanzo kabisa alisema ana biashara zake kadhaa, ( nimeona mbili ) na mimi nimeajiriwa ofc fulani.

Tatizo kila siku yeye ndo mwenye shida, yaani haipiti siku mbili hajaomba hela, mara beby niazime kiasi fulani nashida hii, mara ninataka kufanya hiv imekuwa sasa too much. Sikatai kumsaidia mwenzako anapokwama (which i did kila nilipoweza) lkn sasa naona kabisa nadidimia. Na ikitokea hujampa au umwambie sina ananuna siku kadhaa hakusemeshi... hii ni sawa kweli? Mind u sijawai hata muomba hela ktk kipindi chote cha mahusiano. Na si kwamba sina matatizo, ninayo sana ila najaribu kuyatatua mwenyewe nikiamini kwamba nisiwe mzigo kwake lkn yeye amenikata maini kwakweli
 
Ni rahisi sana kujua mtu anayekupenda kwa dhati.
Lakini siwezi kuweka wazi hapa nitawapa hayo maujuzi hao mabazazi na kuendelea kuumiza wengine na wengine kwa kutumia mbinu hizi.
Ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanalia mkuu
 
Exactly, hichi ndo kinachoumiza wengi. Mahusiano ni ya wawili, wote mnapaswa kuwajibika kwa kila hali na sio kujifikiria wewe tu
 
Tatizo dogo,jaribu kukaa naye mzungumze na umwambie hali halisi,ya kuwa uko tayari kuchangia pesa hasa pale zinapohitajika kwa ajili ya kukuza maendeleo yenu,na si zaidi ya hapo.mfano;- kuchangia kufungua biashara ya pamoja n.k
 
Tatizo dogo,jaribu kukaa naye mzungumze na umwambie hali halisi,ya kuwa uko tayari kuchangia pesa hasa pale zinapohitajika kwa ajili ya kukuza maendeleo yenu,na si zaidi ya hapo.mfano;- kuchangia kufungua biashara ya pamoja n.k
Tatizo mbinafsi, anajijali na kujifikiria yeye tu all the time, kuna wakati tuliweka plan zetu mezani na mi nikashuri tuchague moja ambayo ndo tuanze nayo, akachagua yake ndo ianze na alitaka ianze imediately hata niliposema kwa sasa sina hicho kiasi cha pesa, alimaind sana mpaka tukakosa kuelewana
 
Huyo hakutaki yupo na wewe kwa sababu maalumu,anakutumia wewe kama daraja au chanzo cha mapato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…