SOMETHING IS WROOOONG INSIDE CCM others are running far away

SOMETHING IS WROOOONG INSIDE CCM others are running far away

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,764
Ni wakati wa kujiuliza WaTanzania kunani ndani ya CCM mbona watu na wanachama waliosifika wanaikimbia ,je kumeingia Jambazi,je kuna mwizi ana panga ,mbona viongozi wa ngazi mbalimbali wakiwemo mawaziri na wabunge wawe wamo au wastaafu ,mbona wanaiwacha mkono CCM ? Kunakimbiwa kitu gani ?
 
There must be something wrong..they need to rethink their plans for october if they want to win
 
Wanakimbia kutafuta madaraka kwingine. Karibu wote wameona kitumbua kimeingia mchanga huko walikokuwa. Waliohama kabla ya kutoswa kwenye urais na ubunge ndo nawaelewa. Hawa wengine ni wasakatonge tu!
 
Mkuu ccm inajisafisha wezi na vibaka wanaikimbia hofu Yangu ni huko wanakokimbilia kama kutabaki salama au la.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom