STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,260
Ilikuwa typing Error mkuu, ni Leaklink au leak?
tufanunulie mkuu
Ilikuwa typing Error mkuu, ni Leaklink au leak?
tufanunulie mkuu
Typing Error, u are rightLeak, ship.
Hii lugha ya malikia kwa wengine imekuja na meli.hv alikuwa ameendika sheep kondoo.
hahahaha hii lugha ya malkia ni shida kabisa.
kupo kuchelewa you just dont realise thatlakin pia hakuna kuchelewa kwenye maisha ujue hilo
Hujawahi kusikia mtu wa mzima lakini ana mambo ya kitoto,hiyo ni moja ya mtu kuchelewa wakati alipotakiwa kufanya hayo mambo ya kitoto hakufanya hence ndio mana anaambiwa kachelewa huo ni mfano of how unaweza kuchelewaHow, just give me a clue