Something big is Coming

Something big is Coming

More on the way......

Siandiki sana good news zinakuja.....

In a few days....Siku chache tu au masaa machache...

Anzeni countdown....

Siandiki sana nitaharibu....

Siri ni namba
Yeremia 14:14 Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao.
 
Kati ya wale ambao wameathirika kwa kutokuona maandamano ya fujo ni huyu Kim's boy. Mshikaji anazidi kuwa ka kichaa jinsi anavyohangaika kwa news za kubeti.
Pole boss. Maza iz here to stay. Hutaki hamia Havard
 
God's justice is inevitable and it is comming for all killers including those who ordered it.
 
Ila kwa haya mapito na hizi sarakasi zisizoisha! Aisee 2030 ni mbali. Lolote linaweza kutokea hapa katikati.

How come chama chako chote kimekutenga! Badala yake umebakia na CHAWA tu wanaokunyonya damu mchana na usiku!
 
More on the way......

Siandiki sana good news zinakuja.....

In a few days....Siku chache tu au masaa machache...

Anzeni countdown....

Siandiki sana nitaharibu....

Siri ni namba
1767898895512.png
 
Huyu jamaa bana, sasa weka hata content iwe specific..

HIi basi tu ilimradi umeandika.
 
Back
Top Bottom