hela ni zaidi ya kipodozi fahamu!! mbona hata mm nang`oa sana ingawa si kiiivyo ila mpunga ninao!!!mh usafi unachangia bana...
Usimtishe bana, hayo masuala ni yako wewe hebu wa PM wenzako uwasikie hao wanaume wanaoishi nao waliwapendea nini???? Watu wanapata wachumba hata akiwa na pamba za gereji wewe unaleta za kuleta hapa.sio mbaya lakini ujue its not always about brains..utakosa opportunities hivi hivi unatoa macho tu!
Kwanini wahangaike wakati wanawake wengi siku hizi wanadanganyika na sh. tu?
Inabidi tusubirie wale wachache wajitokeze.kwa wale tusiojali dough je...? Lizzy umemkaribisha a guy kwako just for a friendly dinner perhaps... kavua viatu tu utadhani gari la zoa taka lime paki mlangoni kwako... Hata story zitapanda kweli??
Honestly, there's something amazing about men who dress presentable, smell magnificent, have a clean and well arranged apartment sio lazima iwe luxurious, just having an overall appealing outlook!!
Wanaume mjipende jamani, It really does count so much on how we (ladies) perceive you.. First judgement begins from the first impression we get on your outer looks...
mh usafi unachangia bana...
sio mbaya lakini ujue its not always about brains..utakosa opportunities hivi hivi unatoa macho tu!
Kwanini wahangaike wakati wanawake wengi siku hizi wanadanganyika na sh. tu?
kidume hela hizo mambo za usafi mbwembwe tu!!!!
kwangu mimi mtu hata awe smart na mzuri wa sura kama picha za malaika, as long as he/she is empty upstairs namchukulia ana sura mbaya. and if a woman is as ugly as crocodile, as long as she is fit upstairs (brain) she is the most smart and beautiful woman on earth, upo hapo?
Those are the kinds of women I date!!
Usimtishe bana, hayo masuala ni yako wewe hebu wa PM wenzako uwasikie hao wanaume wanaoishi nao waliwapendea nini???? Watu wanapata wachumba hata akiwa na pamba za gereji wewe unaleta za kuleta hapa.
Angalia mwenzako hapa chini ni nini kipaumbele chake
SHILOLE: Wa kufaidi penzi langu awe nazo - Global Publishers
Yap_sio kudanganyika...ni kwamba wapo ki_business zaidi,....naipenda hii