Somebody uuuh..... With Kasie....

I have this weird feeling kuwa huyu anajaribu kuchuana na Lara1😕😕
 
PENZI NI KIKOHOZII KULIFICHA HULIWEEZII

Aaaah haaaaahahahahahahahahaaaa

" Oooooh Kitorondoo....................... Mwendawazimu kaingiaje........
Kwenye nyumba ya sherehe...... mwendawazimu kaingiajeee............"

....................... Thomas!!............................ mwendawazimu

Aaaahahahahahahaaaaaa raha sana asikwambie mtu looh

Kasie
 
Kwa heshima na taadhima, ukirudi kutoka huko naomba na mimi nionje! Mimi sina cruise ship wala mtumbwi, nina baiskeli niliyorithi kwa babu nayo tairi lake moja lina pancha.

But i swear (sijui hata maana yake hilo neno) ila ntakupeleka geto, ntakuonja tu and no more. I swear i won't come here and say anything about it (unless you say so) please naomba nami nionje japo kidogo.

Mi hayo manyimbo ya kijerumani siyajui mi najua za kina msaga sumu tu, ntakuwekea usikie maana nimeweka kwenye TECNO yangu tena nimeinunulia memory juzi tu. Utazipenda najua ntakufundisha na kucheza mchiriku.

Ukija usipige pafyum kali sana maana huwa inaninyong'onyeza mi nimezoea ile ya COBRA na mafuta yetu ya MUMMYS na RAYS. Ntaongea na boss wangu anikopeshe hela ili nikukodie BODABODA maana ninapoishi gari haifiki kuna bonde na mto katikati.

Naomba na mimi NIONJE!

Signed: M'Jr ✅
 
Na ukipelekewa moto na Kasie usijetoroka na pichu mkononi na kulia lia kuwa unapelekeshwa kama behewa la treni...maana mziki anaocheza Kasie sio wa kitoto kumbuka ana uzoefu wa kubeba mizigo mizito.
Get prepared kabisaa nenda gym kula vizuri tayari kwa kazi sio uwe legelege, nikikutumia PM tuu wewe ndo utakuja home kwangu huko kwako sitafika. Sharti ni hutolala kwangu, baada ya shughuli unasepa.

Deal? ...!!!??
 
Deal!

Nakuhakikishia mi sili chips yai wala chai na vitumbua. Nakula mihogo na viazi aka fiasi. Ukinipa mkate nakata mzima na maziwa, kwahiyo usijali kuhusu shughuli.

I don't hit hard, i hit inteligently and tactically.

Nasubiri PM yako.

Signed: M'Jr ✅
 

Stay tuned from 1st May to 15th May hapo kati shughuli ndo itachezwa
 
Stay tuned from 1st May to 15th May hapo kati shughuli ndo itachezwa
Alright, from today m accumulating my energy. Get ready coz z gonna be a super game

Signed: M'Jr ✅
 
Alright, from today m accumulating my energy. Get ready coz z gonna be a super game

Signed: M'Jr ✅

You game with Kasie right?

Get really prepared more than super sonic speed....
 
I am super prepared naturally no add ons

Signed: M'Jr ✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…