Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,332 Reaction score 144,793 Sep 28, 2016 #61 Honey Faith said: Ngoja kwanza nitafute maana ya hilo ilumbuye maana kisukuma chenu cha kinyatunzu sikiwezi....usijekuwa unanitukana....[emoji86] [emoji124] Click to expand... Ahahahaaaaaaaa daaah. Hivi kweli wewe ni Msukuma au Mnyamwezi unayejifanya Msukuma? Kwa sababu Msukuma wa kweli..awe wa Mwanza, Shinyanga, Kahama, au Ntuzu hawezi kuuliza swali kama hilo. Ilumbuye ni dada'ake.
Honey Faith said: Ngoja kwanza nitafute maana ya hilo ilumbuye maana kisukuma chenu cha kinyatunzu sikiwezi....usijekuwa unanitukana....[emoji86] [emoji124] Click to expand... Ahahahaaaaaaaa daaah. Hivi kweli wewe ni Msukuma au Mnyamwezi unayejifanya Msukuma? Kwa sababu Msukuma wa kweli..awe wa Mwanza, Shinyanga, Kahama, au Ntuzu hawezi kuuliza swali kama hilo. Ilumbuye ni dada'ake.
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,840 Sep 28, 2016 #62 Nyani Ngabu said: Ahahahaaaaaaaa daaah. Hivi kweli wewe ni Msukuma au Mnyamwezi unayejifanya Msukuma? Kwa sababu Msukuma wa kweli..awe wa Mwanza, Shinyanga, Kahama, au Ntuzu hawezi kuuliza swali kama hilo. Ilumbuye ni dada'ake. Click to expand... Hivi naanzaje kutokujua maana? Nilikuwa naongezea tu ladha jamani
Nyani Ngabu said: Ahahahaaaaaaaa daaah. Hivi kweli wewe ni Msukuma au Mnyamwezi unayejifanya Msukuma? Kwa sababu Msukuma wa kweli..awe wa Mwanza, Shinyanga, Kahama, au Ntuzu hawezi kuuliza swali kama hilo. Ilumbuye ni dada'ake. Click to expand... Hivi naanzaje kutokujua maana? Nilikuwa naongezea tu ladha jamani