"Somebody 's me"

Siyo kamikaze tena?
 
Toni Braxton huyu eeeh.....? Lyrics[emoji91][emoji91][emoji91]
 
M,,,,,,,,,,P njooo huku Kuna mtu anakupenda mpaka kashindwa kula na kwenda chooni yaani hii njia ametumia ni nzuri niliitumia hii nilikuwa nimetoswa kwa mwaka mzimaaa Nikatangaza jina lake FB,,Kumbe Dada yake alipo Iona tu akanifuata inbox na akatuanganisha mpaka Leo tunaee ananipenda kulko mimi nilivyo mpendaa Nilikuwa chz for a moment but I got what my soul wanted,,M,,,,,,,,P come and take your Ubavuuuu
 
Da usinikumbushe hilo songi. Niliisikiliza kama Mara 10000 baada ya mahusiano yangu kukatika ghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…