some times in April.....

Nov 24, 2010
54
3
watu tumekuwa tukingojea sana ni siku gani tutafanya yale waliyofanya wenzetu wa Tunisia,Misri na sasa Libya.Habari za kuaminika zinadokeza kwamba ifikapo April mwaka huu serikali ya 'Mkwere' lazima itoke madarakani.
Chanzo hicho kutoka 'Nyumba kuu'iliyopo Magogoni kinasema kwamba hata baba mwenye nyumba ameshaanza kuitisha vikao mfululizo vya kiusalama vikiwahusisha na wakuu wetu wa 'magwanda'wakijadili ni kwa vipi wataepusha zahma hiyo.

Chanzo kinadokeza kuwa hali ni tete hofu imetanda huku kikitanabaisha kuwa waongozaji wakuu wa sakata hilo la kutaka baba mwenye nyumba kuachia nyumba ifikapo mwezi April mmojawapo ni waziri mkubwa tu ambaye kwa sasa yupo nje ya nchi kikazi ila akiratibu kikamilifu mipango hiyo.

Hali hii imepelekea hata sakata la Gongo la Mboto kutokuchukuliwa uzito na nguvu zote kuelekezwa kwenye zahma ya April.

Nawakilisha.
 
Hakuna waziri msafi kwenye serikari ya mkwere ambaye anaweza kuwashawishi wananchi kumuunga mkono ktk mageuzi ambayo yatakuwa ya uwongo.wananchi wanatambua kwa sasa na mkwere anaweza toka wakati wowote pale nguvu ya uma itakapochukua mkondo wake
 
Back
Top Bottom