Some Things I cannot Explain, Yet I wish I Could Change Them

No attempt to seek insight or help here at JF is futile. BRENDA 18 said something that gave me the way forward- it is striking a balance between the people who run to me and myself, such that I shall not be troubled by their woes yet at the same time I shall give them relief in one way or the other.
King'asti reminded me to count it as a blessing. Once you are overwhelmed by some of these emotions it is not easily to see through the swollen eyes.

Thank you Monsieur Isumbwile, thank you so much.

Ur welcome Mademoiselle Karucee
 
Last edited by a moderator:
hahaha talk of this, kuna shosti wangu huwa ananiambia 'king'; you have a listening ear'. na naweza kumsikiliza yeyote tu hata kama najua hasaidiki, lol.

sasa this galfriend kuna tulipoteana kwa muda. tukaja kuonana, sehemu yenyewe ya buggy ila sie tunaendaga mapema tunakula na kuongea yetu kabla hakujachanganya. Hiyo siku nikamuambia na mkaka mmoja atujoin manake nae tulishatafutana ikashindikana. Mie namsimulia shosti masahibu yaliyomkumba ndugu yangu na kusababisha na mie nipotee nikimsaidia, si akaanza kulia. Yule mshkaji sasa anachanganyikiwa nini kinaendelea. Hahaha hadi leo nikionana na yule dada akiniuliza progress namuambia staki kukusanyiwa watu hapa. I guess Karucee uko kama huyo dada.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. I hardly shed a tear because of my own probs. Ila ngoja nisikie shida za mtu ama nimuone mtu destitute.
 
Nakumbuka nilipokua advance, wanafunzi wangu walinichukulia kama mshauri wa darasa...ikitokea issue ngumu hao...mwalimu kafanyaje,,mara haeleweki..hawapa!! and the other day, a friend of mine alikua na matatizo home..tukiwa tunapiga story akaanza niambia, real sijui nini kilitokea...nlianza kuogopa tu...mpaka leo sijui ni kwanini but at some points i must admit i helped him... the same to you Karucee people gat problems, sometimes you can not see blessings right away or at the first sight but believe me one day one time hutaamini!! watu wanakuhitaji go and help them!!!
 
Last edited by a moderator:
LORDVILLE, I don't have the heart. Let them come, I won't turn them down but sitaweka bango no matter how mean I sound.
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka last year kuna mtoto wa kike alikuwa anapenya geti la nyuma ya nyumba yangu anashinda garden mpaka jioni.
 
Mimi sikujua na Dada wa kazi alikuja kugundua ka 'haven'kamewekwa uniform na madaftari. Kuja kufatilia ni katoto ka kike
 
ka 9 years kalikuwa disturbed kiasi manake shule kulikuwa na issue na nyumbani kwao there was no one to turn to. Arggh!
 
so kakitoka shule hakaendi kwao kapo garden mpaka jioni. Afu badala ya mzazi kuwa mpole na kufatilia ni kumkung'uta!
 
Thats Karucee bhana!!!! Its a talent.

You are genuinely generous also you have a welcoming aura so to say. kuna mtu ukimuona tu hivi unakua na amani naye kata kumueleza shida yako (from no where) au kuna mtu mnakutana mnaiva tu (kama mie na wewe) and you feel at easy. Tumia hio gift kuimpact as many lives as you can... and of course that replicates more blessings and joy in your life.

Mimi naweza kuwa na shida kwenye utoaji toaji.....Wakaji mwingine huwa naona kama sipigi hatua mbele kisa kushughulika shida na matatizo ya wengine.... Yaani nisisikie mtu ana shida karibu yangu... itanikera hadi nifanye kitu... na nikifanya kitu nakuwa na AMANI na FURAHA kupita maelezo. sasa mtu anieleze shida ya ukweli halafu ukute sina namna ya kumsaidia... naweza nikasikitika usiku kucha namuwazia.

Linapokuja swala langu SITAKI na sipendi mtu anionee huruma kabisa.... I dont know why. Hata kama ni msaada ntakaataa hadi nilazimishiwe japo utakuta ni kweli nina uhitaji huo kwa wakati huo....

Na mimi ni mrahisi sana hutokwa na machozi ninapoona niliyemsaidia kasaidia then anashukuru genuinely...Sijui kwa nini? I do feel very broken inside, such a humble feeling, the undeserving feeling you name it... but why?

SIfurahii kusifiwa na sipendi kunyenyekewa (utukufu) ila natamani mtu nikimfanyia jema asilichukulie kawaida japo sitaki anishukuru (nataka kuona nia kwake tu kuwa ametambua nimemfanyia kitu baasi inatosha) sijui kama hii hali inaeleweka

Na huwa nakata tamaa ninapofanya kitu kwa moyo mweupe kabisa ila unachukuliwa kama unasubiri malipo fulani baadae... only to find out lately wala kuwazi chochote (pay backs)

I think I am kinda complicated... Kuna watu wa aina hiii kweli au am justcomplicated?????
 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha ziada PIC ni wimbo tu title yake ni don't panick by French Montana nafasi ikikuruhusu utafute utube.

Thank you sweetie, am not able to view some of these goodies from my phone.
 
LORDVILLE, I don't have the heart. Let them come, I won't turn them down but sitaweka bango no matter how mean I sound.

And you dont have to!!!
Embu soma na huu wa Tized ...
You are genuinely generous also you have a welcoming aura so to say. kuna mtu ukimuona tu hivi unakua na amani naye kata kumueleza shida yako (from no where) au kuna mtu mnakutana mnaiva tu (kama mie na wewe) and you feel at easy. Tumia hio gift kuimpact as many lives as you can... and of course that replicates more blessings and joy in your life.

Mimi naweza kuwa na shida kwenye utoaji toaji.....Wakaji mwingine huwa naona kama sipigi hatua mbele kisa kushughulika shida na matatizo ya wengine.... Yaani nisisikie mtu ana shida karibu yangu... itanikera hadi nifanye kitu... na nikifanya kitu nakuwa na AMANI na FURAHA kupita maelezo. sasa mtu anieleze shida ya ukweli halafu ukute sina namna ya kumsaidia... naweza nikasikitika usiku kucha namuwazia.

Linapokuja swala langu SITAKI na sipendi mtu anionee huruma kabisa.... I dont know why. Hata kama ni msaada ntakaataa hadi nilazimishiwe japo utakuta ni kweli nina uhitaji huo kwa wakati huo....

Na mimi ni mrahisi sana hutokwa na machozi ninapoona niliyemsaidia kasaidia then anashukuru genuinely...Sijui kwa nini? I do feel very broken inside, such a humble feeling, the undeserving feeling you name it... but why?

SIfurahii kusifiwa na sipendi kunyenyekewa (utukufu) ila natamani mtu nikimfanyia jema asilichukulie kawaida japo sitaki anishukuru (nataka kuona nia kwake tu kuwa ametambua nimemfanyia kitu baasi inatosha) sijui kama hii hali inaeleweka

Na huwa nakata tamaa ninapofanya kitu kwa moyo mweupe kabisa ila unachukuliwa kama unasubiri malipo fulani baadae... only to find out lately wala kuwazi chochote (pay backs)

I think I am kinda complicated... Kuna watu wa aina hiii kweli au am justcomplicated?????
 
Last edited by a moderator:
Karucee i'm dyng to hear that beautiful voice of yours.it must have a unique vibration that can drive a man crazy when talking to you.love you though.lol
 
Last edited by a moderator:
Thank you, but no. Ngoja waendelee kunisimamisha tu njiani. I do not have what it takes to be a Counsellor. Mfano kuna mtu aliniombaga nimsaidie kuacha bange. lols. Nilicheka sana.
Njoja nikuulize.Hao wanaokusimamisha ukishawashauri huwa unafatilia progress zao?Huwa wanaendeleaje?Kama kuna Positive impact basi wewe ni councilor naturally na unaweza kui shape hiyo talent ikawa bora zaidi.
 
No, ni watu wanao nisimamishaga njiani sweets. I am a married woman, namba nitagawia wangapi?
 
Thats Karucee bhana!!!! Its a talent.

You are genuinely generous also you have a welcoming aura so to say. kuna mtu ukimuona tu hivi unakua na amani naye kata kumueleza shida yako (from no where) au kuna mtu mnakutana mnaiva tu (kama mie na wewe) and you feel at easy. Tumia hio gift kuimpact as many lives as you can... and of course that replicates more blessings and joy in your life.

Mimi naweza kuwa na shida kwenye utoaji toaji.....Wakaji mwingine huwa naona kama sipigi hatua mbele kisa kushughulika shida na matatizo ya wengine.... Yaani nisisikie mtu ana shida karibu yangu... itanikera hadi nifanye kitu... na nikifanya kitu nakuwa na AMANI na FURAHA kupita maelezo. sasa mtu anieleze shida ya ukweli halafu ukute sina namna ya kumsaidia... naweza nikasikitika usiku kucha namuwazia.

Linapokuja swala langu SITAKI na sipendi mtu anionee huruma kabisa.... I dont know why. Hata kama ni msaada ntakaataa hadi nilazimishiwe japo utakuta ni kweli nina uhitaji huo kwa wakati huo....

Na mimi ni mrahisi sana hutokwa na machozi ninapoona niliyemsaidia kasaidia then anashukuru genuinely...Sijui kwa nini? I do feel very broken inside, such a humble feeling, the undeserving feeling you name it... but why?

SIfurahii kusifiwa na sipendi kunyenyekewa (utukufu) ila natamani mtu nikimfanyia jema asilichukulie kawaida japo sitaki anishukuru (nataka kuona nia kwake tu kuwa ametambua nimemfanyia kitu baasi inatosha) sijui kama hii hali inaeleweka

Na huwa nakata tamaa ninapofanya kitu kwa moyo mweupe kabisa ila unachukuliwa kama unasubiri malipo fulani baadae... only to find out lately wala kuwazi chochote (pay backs)

I think I am kinda complicated... Kuna watu wa aina hiii kweli au am justcomplicated?????

Niliishia kucheka tu lil bro. Hahahaha. Hayo maswali uliyouliza its like you were speaking to the mirror.
 
Back
Top Bottom