Some Of Nokia Secret Codes

Simonsica

Member
Dec 10, 2010
41
0
Zingine zaweza zisifanye kazi kutokana na handset yako. Here are some of the nokia codes,if they dont work on your handset it might be that its not compatible with that model.
1.*#3370# activates enhanced full rate
2.#3370# deactivates enhanced full rate
3.*4720# activates half enhanced rate
4.#4270# deactivate half enhanced rate
5.*#7780# formating/restores factory settings
6.*#92702689# warranty
7.*#2829# bluetooth mac adapter(if your handset has a built in adaptor)
8.*#7370925538# reset wallet(if it has)
9.*#57705646# clear LCD display
10.*#746025625# sim clock allowed
11.*#3925538# delets wallet code(if it has) Nyingine bado natafuta!
Blög Sicä | Welcome to Blog Sica!!!
 
Derimto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
1,307
1,500
Tuambiane zinaweza kutumika kawaida au ni mafundi simu tu maana mtu anaweza kujidai shababi kama masai aliyeona fundi simu anasafisha cm.na maji maalumu pamoja na mswaki akaenda kujaribisha yake kwa madai amegundua utapeli wa fundi kumbe dawa ni kupigisha cm. Mswaki cm. Ikafa so tuambizane zinatumika wakati gani wandugu
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,545

du hii kali kweli wale jamaa wapo fasta sana masai
 
Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
195
Wakuu msaada tafadhali simu yangu inanizingua kwenye LCD huwa inakata mwanga ila kwenye keypard inakuwa ipo fresh ila muda mwingine inakuwa fresh yote, tatizo limeanza leo hii!
 
drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,545
1,500
Wakuu msaada tafadhali simu yangu inanizingua kwenye LCD huwa inakata mwanga ila kwenye keypard inakuwa ipo fresh ila muda mwingine inakuwa fresh yote, tatizo limeanza leo hii!

mkuu unaposema inakata mwanga unamanisha taa zinakuwa aziwaki kwenye lcd au lcd inakuwa ainyoshi kitu yani inabaki mwanga mweupe jb ni kama sio cm ya kufunua au kuslide itakuwa na lcd mbovu, kama niyakufunua:kuslide itakuwa mkanda or belt
 
Edgartz

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
241
195
mkuu unaposema inakata mwanga unamanisha taa zinakuwa aziwaki kwenye lcd au lcd inakuwa ainyoshi kitu yani inabaki mwanga mweupe jb ni kama sio cm ya kufunua au kuslide itakuwa na lcd mbovu, kama niyakufunua:kuslide itakuwa mkanda or belt

Taa ndo haziwaki mkuu cm ni slide Nokia N95
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom