Some Of Most Realistic Tattoos.....!!!!

Hiyo ya kipepeo nimeipenda sana ila hata haijanoga maana limechorwa likuuuuubwa!
 
mwalimu, nawe hua unafika huku?
  • Kwa kipingi kirefu nilikuwa natembelea jukwaa moja tu, lile la tech.
  • Ila kwa sasa majukwaa yote najaribu kupitia ili nami kujifunza kwenye majukwaa mengine wanafanya nini.
  • Kama ujuavyo mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu .
 
sawa sawa Mwalimu, naomba nikukaribishe pia utembelee na lile jukwaa kule chini kabisa. You're mostly welcome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…