Jamani pole dochivele
wapendwa mnisamehe jana na mimi nilienda mkesha kumwomba Mungu kama akina Doreen nikarudi nimechoka sana asee nikalala tu. stori naimwaga ndani ya dk 0 poa ee?
Jamani pole dochivele
wapendwa mnisamehe jana na mimi nilienda mkesha kumwomba Mungu kama akina Doreen nikarudi nimechoka sana asee nikalala tu. stori naimwaga ndani ya dk 0 poa ee?
Nimesoma toka mwanzo pongezi kwako penny money,ila kuna maeneo umeyataja ya mkalama umenigusa aisee,kama u mwenyeji wa kule naomba tuwasiliane nina more than 15 yrs now sijatia pua kule