Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Jumapili wakiwa kanisani, maana wote waliamua kwenda kusali kanisani kwa Doreen, wakati wa sadaka, wakiwa wanapita mbele kwenda kutoa sadaka, mara Adrienne akamwona James akiwa amekaa seat ya nyuma, akamfinya Carrie, “isn’t that James, the one who approached Doreen?!” Carrie akasema Yes, ndio mwenyewe, embu ngoja tukakae tutamcheki kwenye seat vizuri. Wakaenda kuketi, ilipofika zamu ya James kupita mbele, wote wakaambizana, muangalieni James, Doreen alishtuka, roho ikampasuka mpaka mwili ukaanza kutetemeka, akainama chini kujificha asionekane. Ibada ilipoisha, wakiwa wanasalimiana nje ya kanisa, akaja James kuwasalimia.

Adrienne akamwuliza James, are you stoking us? Au unasali hapa? James akamwambia, hapana sisali hapa, kuna rafkiangu amenikaribisha nije alafu yeye hajaja, ila sio mbaya, sikujua na nyie mnasali hapa, hello girls, and Doreen how are you? Nimesubiria simu yako sijakupata. Carrie akamjibu, hi James, tulilala hoi jana tukaamkia kanisani, so please forgive me. James akasema no problem, i understand. So Doreen nitapata namba yako sasa au? Doreen akasema hapana, am not into married men, sorry. James akamwuliza, who said anything about marriage? Am not married. Then Chanel, Adrienne na Carrie wakaangaliana, wakavutana pembeni wakawaacha wawili wakiongea. “Can I take you out for a brunch and lunch please?” Doreen akasema, “No thank you, nipo na marafiki zangu na tumepanga kwenda, kabla hajamaliza sentensi, marafikizake walikuwa wameshawasha gari wanaondoka, akasikia tu Bye Doreen”.

“Kwahiyo naona tupo wawili sasa, je twaweza kwenda kwa brunch?, tukimaliza nitakurudisha nyumbani au popote unapotaka”, akasema James. Doreen hakuwa na jibu ikabidi akubali kwenda na James huku akilaani moyoni mwake shenzi kabisa akina carrie watanikoma!

Sexy love, girl the things you do
clip_image002.gif
(Oh baby baby) Keep me sprung, keep running back to you
clip_image002.gif


Oh I love making love to you Babygirl you know you're my (sexy love)
clip_image002.gif


Wimbo ulisikika wakiwa kwenye Gari ya James Wote wawili wakiwa kimya Kwa Muda mrefu, Doreen akiwa amegeukiwa upande wa dirishani huku anafinya violence, moyoni mwake anajiuliza hivi mimi nina kitu gani nafanana na huyu mbuzi beberu pori? Mwanaume mwenyewe hajui hate kuvaa. Kabahatisha tu kwenye Gari sijui ka rent mana wanaume wa duniani shida sana, Mungu wangu hii ishakuwa balaa sasa, huyu mwanaume ananiwekea nuksi ananiharibia maombi yangu,mwanaume mwenyewe kwanza mweusiiiiiii kama kuzimu.

Ivi nikijiangalia nilivyo mrembo namna hii nawaka hivi, huyu mwanaume atanipeleka wapi? He looks cheap to me. Kwanzaa nimesoma IST tangu nursery mpaka form 6, nikaenda University of London wapi na wapi? huyu mwanaume anaonekana kasoma kayumba tu, we have nothing in common anakitu gani anaweza kufanya cha kunishitua mimi Doreen, hapa duniani nimeona kila kitu kabla yake, kwanza nina wasiwasi na umri wake, yasije yakawa yale yale mambo ya Adrienne ya Pupils. MUNGU wangu, ivi hili jini umelileta kwangu la nini labda? ! Yani mimi nimekuomba mkate wewe umenipa jiwe?! What the hell?!

Kwenye Gari James alikuwa mwenye furaha sana, James Akajisemea moyoni kweli Mungu yupo, chuma kama hiki ningekipata wapi kudadeki?! Motto mwake, na hivi nimemuwekea mapigo ya mamtoni anafurahije sasa!? Akamuangalia Doreen akaona kama hayupo comfortable anajifinya vidole amegeukia pembeni, anang’ata mdomo, kama amekasirika anataka kulia, akapunguza sauti ya redio, akamwuliza, "Doreen, uko sawa? Doreen akajibu, sawa. Leo umependeza sana, inaelekea kupendeza ni kawaida yako maana hata jana ulikuwa zaidi. Ulipoingia tu pale hotelini na macho yangu yalipokuona moyo ulienda mbio Sana". Doreen akasmile akaendelea kukaa kimya, ila moyoni akajibu shenzi zako, mavi wee. Wakafika Sheraton hotel Muda wa saa 7 kasoro mchana, waiter akatokea, akawapa menu. Doreen akamwambia hapana mimi nahitaji 1 muffin and hot chocolate. Waiter akamwuliza James na wewe kaka? James akajibu bado nachagua kaka nivulie kidogo. Akaendelea kuchagua ndani ya dk 15, Doreen akajisemea moyoni, He is soo classless, yani hapa Mungu anamuumbua hatari, Doreen akawa ameshaletewa muffin na hot chocolate anakaribia kumaliza kula.

Waiter akaja, enhe kaka naamini mambo tayari sasa, ndio James akaagiza anavyotaka.


James akaanza maswali, nambie mrembo, unafanya shughuli gani hapa mjini?

Doreen akamjibu sifanyi shughuli yeyote. James akamwuliza inawezekana kweli, au unaishi na wazazi? Doreen akamwambia hapana wazazi wangu wapo mkoa, mimi naishi pekeyangu.

Ohoo! Sasa unaishije bila kazi au unafanya biashara? Akauliza James. Doreen akamjibu sina kazi, natafuta wala biashara sifanyi.

James akamwuliza, umesomea elimu gani? Akamjibu Degree ya finance and economy. James akamwambia basi nitumie cv yako na kila kitu kwenye email yangu, akatoa business card akampa, nitakuangalizia kwa marafiki zangu ajira, tuombe Mungu. Au ulikuwa unapenda kufanya kazi sehemu gani? Doreen akajibu, sehemu yoyote inayolipa vizuri nitashukuru, asante.


Huku nyuma, Chanel, Adrienne na Carrie wakawa wanamvutia picha Doreen, wakaanza kuwaza sasa hivi atakuwa analaani sio kitoto, utadhani hajatoka kanisani. Adrienne akasema I hope that guy is nice maana mimi namashaka nae, Doreen has been through a lot katika maisha yake, wala sitataka ateseke tena in future.


May be we should text her, it’s been hours hatujamsikia, huenda kawa kidnapped, akasema chanel. Carrie akamjibu, mtu mzima anakuwaje kidnapped samahani kweupe hivi, acheni utoto, mwacheni atarudi mwenyewe. Enhe sasa usiku tunaenda kujirusha wapi? Naona tupo wa 3 am sure Doreen atarudi na kusema amechoooka anataka kulala, na hivi kesho sikukuu mimi bado nataka kutoka. Leo wapi wapendwa? Akasema carrie.

Hata sijui, akajibu Adrienne, kwanini tusikae tu ndani au leo kuna bendi inapigwa? Twanga pepeta or something!?

Yah, twendeni kwenye bendi leo, akadakia Chanel, wakakubaliana wanaenda kwenye bandi ya twanga pepeta.

Huku nyuma stori kati ya Doreen na James zimenoga, walipotoka Sheraton wakaenda cocobeach kupunga upepo wakamalizia na slipway for ice cream. Doreen Kuangalia saa mkononi mwake akakuta saa 1 usiku, akakumbuka saa 2 usiku wanatakiwa kutoka na marafiki zake, akaangalia simu akakuta missed call 20 za Adrienne. Akaomba arudishwe nyumbani na James haraka, akadanganya kuna dharura nyumbani kwangu, unaona missed calls 20 nahisi kuna tatizo nyumbani.

Kufika nyumbani, Doreen akashuka haraka huku anakimbia kutoka kwenye gari, akamwambia James asanteeeeeeeeeeeeeeeee, usiku mwemaaaaaaaaa, byeeeeeee, akamuacha James ameduwaa hata kuzima gari akashindwa. James alitegemea good night kiss and hugs, akaambulia kelele za mrembo.

ITAENDELEA
 
Dear Money Penny Leo inaendelea au kesho, by the way nimependa punctuality yako Tatu kasoro 2 upo uwanjani unamwaga segere
 
Doreen alikuwa na miaka 32, hana kazi kwa Muda wa miaka 4, single. Wazazi wake wanaishi Singida wilaya ya Iramba. Alimaliza shule ya msingi mwenge, akafaulu darasa la 7, mama yake mdogo anayeishi Dar ambaye hakubahatika kupata mtoto katika ndoa yake akaomba kwa dada yake amchukue Doreen aje aishi nae dar atamsomesha, akampeleka shule ya IST kwa sekondari mpaka high school. Alipomaliza form 6, alifaulu sana, mama yake mdogo alifurahi sana na kuona Ada haijaanguka chini. Mama yake mdogo alikuwa anafanya kazi umoja wa mataifa UN, akam list Doreen kama mtoto wake wa kuzaa ili asomeshewe na UN shule nzuri. Ndipo alipopata kwenda kusoma university of London Uingereza. Doreen alikuwa mrembo sana, ameshona nyuma kama Queen Vee Bossette, tangu anasoma secondary school wakati wa likizo alikuwa akipanga magari kwa mama yake mdogo, kiila weekend kwake ilikuwa kama prom night. Watoto wa mabalozi, mawaziri wote walipenda kutoka nae. Ilikuwa patashika kila weekend mama yake mdogo alikuwa akifanya kazi ya kuwafukuza boyfriends. Mama yake mdogo nae alikuwa masha-allah, si unajua singida tena, ma wowowow makubwa kama Joyce wowowo! na alikuwa very rich, classy and sassy, ndio aliefundisha Doreen how to carry her self, to be classy and sassy, to behave, how to speak. Alipomaliza chuo kikuu alirudi Tanzania na akaPata kazi haraka sana maana alifaulu kwa alama za juu yaani 1st class, aliajiriwa na shirika LA Heifer Tanzania kama mhasibu maana alikataa kufanya kazi na mabenki. Ndipo hapo alipoupatia ulokole mana kila siku ofisini ni ibada na Yesu na Halleluya. Lakini hakukosa kwenda kijijini kuwaona Wazazi wake na kuwasalimia alihakikisha amebadilisha maisha ya Wazazi wake kwa kuwajengea nyumba nzuri ya kisasa, akawanunulia hekari nyingi za mashamba akawasomesha wadogozake wakiume WA 3 private schools mpaka form 6, hakika alifanyika Baraka sana kwa familia yake. Kilichomwondoa kwenye ajira ni colligues wenzake wa department yake, walikuwa wanataka kupiga panga (waibe kwenye kampuni) wakimbie. Ikiwezekana wafekishe cheti cha kifo wakakae Congo au kwa Mandela. Na yeye akiwa kama mwana wa Nuru akaona hapana sitaki kuozea Jela akaenda kujisalimisha kwa pilato na kuwaripoti wenzake kwa mabosi. Katika utetezi wakapunguzwa kazi wote na mpaka Leo mwaka wa 4 hana ajira, maana kampuni ilikataa kutoa reference nzuri kwenye kampuni zingine ambapo Doreen aliomba ajira. Kwasababu alishakuwa stable aliamua kuhama kwa mama yake mdogo na kupanga nyumba mtaani; kwa Muda mrefu alikuwa anafanya kazi Arusha kabla ya kupunguza kazi na kwa miaka 4 alikuwa anaishi Dar kwa savings na pensions. Baada ya pesa zote kuisha, ikambidi auze gari yake rav 4 aliyokuwa anatumia ili aweze kujikimu kwa kodi ya nyumba na chakula, baada ya pesa kuisha iliwagharimu marafikizake Carrie na Adrienne kumchangia pale alipopungukiwa.



Chanel mtoto wa IGUNGA TABORA, ngozi ya asali (maji ya kunde) mwembamba, mrefu, elimu ya form 6, alikuwa anafanya kazi shoprite supermarket baada ya Kufeli form 6. Ndoto zake zote ziliishia shoprite with a supervising post kwa miaka 3. Akiwa motto yatima kwao aliamua kuhama Tabora kabisa na kuweka kambi Dar es salaam, maana mirathi yake alioachiwa na wazazi ilichukuliwa na ndugu upande wa baba yake, maisha haya kuwa mazuri sana kwake, hata nauli aliyotoka nayo kijijini ilibidi akapewe na mwenyekiti wa serikali za mtaa wa kijiji ili aje mjini kuanza upya, Mungu si athumani akapata kazi Bar wiki ya kwanza, ikawa bar ikifungwa anajibanza analala ndani ya Bar mpaka asubuhi, sikumoja akaja pedeshee na wenzake kunywa kwenye hiyo bar hapo mwenge, akamuona Chanel, akampenda akataka kumchukua aende nae kwake, Chanel akamponyoka saa ya kuondoka hakuja tena, siku ya pili akaja akamkuta, akiwa hajalewa huyo pedeshee, akamwambia chanel wewe ni mtoto mrembo sana, ngozi ya nyuki hii, unafanya nini bar, kwanini nisikuoe? Chanel akakataa, akamwambia mimi nataka kukuondoa hapa Bar, nakutafutia kazi mahali pengine, chanel akaona huyu ni mbakaji akawa anamkimbia, baada ya wiki 3 yule pedeshee akaja akamwambia nimekutafutia kazi Shoprite supermarket naomba ufike hapo kesho saa 5 asubuhi, haupaswi kukaa bar muulizie meneja clemence, mwambie umeagizwa na Pedeshee Kitambi, nije kukuona, fanya uende mrembo usije fia bar na mende wake bure, shika hii nauli nenda mrembo. Kesho yake kweli Chanel akaenda huko shoprite supermarket, kweli mambo yalikuwa mambo, meneja alikuwa anamsubiria kweli, na alipofika akapewa kazi maramoja akashukuru sana Mungu akapiga kazi kweli kweli, akaomba mkopo wa mshahara nusu angalau akapange chumba sinza, akapewa, akajitahidi sana kwenye kazi mpaka akapandishwa che ndani ya miezi 2 akawa supervisor na kamshahara kakaongezeka. Kwakuwa yeye alizaliwa mtoto wa pekee kwa wazazi wake marehemu, alikuwa na moyo wa huruma sana. Tangu alipoipata ile kazi ya shoprite supermarket hakuwahi tena kumwona Yule pedeshee, akahisi labda ni baba yake marehemu amemtembelea kwa mfano wa malaika na akamsaidia kupata ile kazi na kumwondoa bar. Maisha yakaenda vizuri, siku moja wakati akiwa kazini, akakutana na Carrie anashop kwenye kigari cha shoprite, Carrie akamwuliza kuwa je hii product ni nzuri na ndio ilikuwa imebakia hiyo hiyo nay eye Chanel alikuwa ameilia jicho kuinunua. Akamwambia kiukweli dadangu hii bidhaa ninaitaka sana na imebakia moja na ni nzuri sana, nitashukuru kama hautainunua. Carrie akacheka sana, akamwambia nimependa your guts, ngoja, akaichukua akaenda kuinunua alafu akampatia chanel, zawadi yako kwa kuwa mkweli, chanel akafurahi kweli maana akiangalia mfukoni hana hata sumni, Carrie akamwambia, I like you, we should be friend, waka exchange numbers, Carrie akaondoka. Chanel Alianza kuishi sinza kwa miaka 3, baadae akahami mwenge kwa muda wa miaka 3 ndipo walipokutana na carrie. Carrie akamwambia ahame hapo mwenge ahamie mikocheni au Mbezi beach huko mwenge ni classless. Chanel hakuelewa classless ni nini, akamwuliza, Carrie akamjibu honey umeishia form 6 na haujui classless? U need to go for English medium, sasa huko kazini unapandaje cheo au ndo unapandishwa kwa experience. Akamchangia akaenda kusoma English medium mnazi mmoja. Sikumoja wakapanga waende out, ndipo walipokutana na Adrienne na Adrienne akamleta Doreen wakawa marafiki ever since wakishirikiana kwa mambo mengi.



Adrienne mtoto wa kishua, miaka 32 yeye nae alikuwa mzuri mzuri, mweusi, kachumbari flavor flani amazing, mwembamba ila Hips don't lie kama Shakira,alidate A List men tu. A list men ni wale wanaume ambao ni matajiri kinyama, madizaini ya akina Dangote, Trump, Buffet, Mengi, alisoma shule za gharama kama IST kuanzia Nursery mpaka form 6, na alikuwa anaishi Mikocheni, Wazazi wake walikuwa mabalozi wan chi za nje, alipomaliza form 6 akaenda kuishi uingereza kwa miaka 5 akasoma mpaka masters ndio akarudi Bongo akapata kazi UN, huko Ndipo walipokutana na Doreen. Adrienne alikuwa ni Msukuma wa mjini, Mama yake alikuwa mtu wa kigoma, kibongo bongo walimwita half cast wa kisukuma. She was all about class . amekaa UN zaidi ya miaka 8 na analipwa vizuri, kwake vacation ni kama kwenda msalani, akijisikia hamu tu anasafiri. Walipokutana na Doreen na Carrie waliiva sana maana wote walikuwa mama class, ikabidi wamu upgrade Chanel maisha yake, wakamtoa mwenge wakampeleka kuishi Mbezi beach. Adrienne alikuwa ana upendo sana na huruma, pesa nyingi alikuwa akimchangia Doreen zilikuwa zinatoka kwake na kila mwisho wa mwaka lazima akatembelee watoto ya tima kutoa shukrani kwa Mungu kwa wema na fadhili alizomtendea. Doreen alikuwa anaishi bado na wazazi wake, kwenye nyumba ya wazazi wake ingawa muda mwingi wazazi hawakuwepo bongo, alikuwa anabaki mwenyewe nyumbani. Alizaliwa yeye na kaka zake wa kiume wa 3 waliomtangulia, Adrienne alikuwa mtoto wa mwisho kuzaliwa na wakike pekee kwenye familia yao. Kaka zake wote walishaoa na kuzaa watoto 3 kila mmoja kwahiyo she had the house to her very self. Lakini alipobumunda ni pale alipoamua kuweka class yake chini na kuibuka na huyu fisi JON. Jon alikuwa mdogo kwa Adrienne kwa miaka 3, wakaendelea na mapenzi wee, na unajua Adrienne kuku wa kidhungu, hakuwahi kuguswa, kwahiyo JON ndio alikuwa kila kitu kwake na ndie aliembikiri. JON alikuwa mhaya, mtoto wa upanga, mvurugaji hatari, wenzake walikuwa wakimwita jembe la kupuria nafaka, popote ambapo wenzake walishindwa kupita yeye alipita na alitoboa mbaya, kitombi wa kufa mtu, mapaka Adrienne kuja kumgundua alishampa mimba hadi house girl wa nyumbani kwa Adrienne, ndipo walipoachana. JON alikuwa hana kazi, form 6 leaver aliepata div 0, aliporisiti alipata div 4, aliporisiti kwa mara ya 3 akapata div 3, alikuwa kilaza wa kufa mtu, yeye alikwua anawaza papuchi tu wakati wenzie wanasoma darasani, kuna kipindi hadi alitembea na mwalimu wake wa twishen, sijui ni kwasababu ya mwili wake (gorilla body) so wale wenye maku nyepesi wakimuona tu wanakojoa. Ila hata kesho JON akirudi kwa machozi kwa Adrienne, sentimental Adrienne lazima amkubali, chezeya 1st man wewe?!



Carrie, miaka 33, single, Hana haraka na maisha, marafiki zake humwita gold digger or a snob, mmachame wa ukweli alisoma degree ya banking and finance Afrika kusini, akapata kazi benki ya NBC kwa miaka 3, akaondoka akaenda Barclay's Bank kwa miaka 3 akaondoka akahamia standard chartered kwa muda wa miaka 4 ambapo mpaka sasa yupo hapo. Wazazi wa Carrie wanaishi Machame Lyamungo sinde, akiwa mzaliwa wa tatu kwa familia yake, carrie ana dada 2 na mdogo m1 wa kiume. Dada zake wote walishaolewa na kuzaa watoto, akabakia yeye na mdogowake wa kiume aliekuwa anaishi nae hapa dar upanga ambae anasoma form 6 Shaaban Robert secondary school. Maisha ya Carrie hayakuwa mabaya sana, alipokuwa na miaka 25 tayari alikuwa ana miliki gari, ameshawanunulia hekari 20 za mashamba kule moshi, wazazi wake wakawa wanalima, amefungua Bar 3 Dar, (Kimara, Mwenge na Mbezi Beach) na ana kampuni ya usafi hapa Dar ambayo alipata tenda kwenye mabenki 3. Alikuwa anapenda sana maendeleo na hata nyumba aliokuwa anaishi, hakuwa anaipenda sana lakini akifikiria mambo ya ujenzi na mafundi akaona bora aendelee kupanga, kwenye moyo wake alitamani sana kununua nyumba, huyu Nkakeni shilingi haikumpita chooni, mchaga alijua kuitafuta kweli hela sio kitoto. Carrie hupenda wazungu, maisha yake yote, lakini naona bahati ilikuwa bado haijamwangukia, akaangukia kwenye penzi la ex wake wa miaka 10 anayeitwa Tito. Tito alikuwa Mgita, mfanyakazi wa benki, walipishana miaka 5 na Carrie ila ndo alikuwa kitombi balaa. Tito alikuwa na bushelele kama mti wa tanesco, kitu ambacho kilimchanganya sana mtoto Carrie ingawa hakufurahi sana maana maumivu sio kitoto, lkn kwa Tito Carrie hakuwa anatosha, kwake yeye aliona akilala na wasichana hata 5 ndio anasikia kushiba na hilo aliliweka moyoni hakutaka kumwambia carrie. Miaka mitano ya mahusiano yao mapenzi yalienda vizuri according to Carrie akategemea kuolewa muda wowote but according to Tito kila akitoka ku do na Carrie, alienda ku do na boss wake kazini, akimaliza anaenda kulala na ex wake kabla ya Tito, kwa siku alikuwa analala na mademu wa 5, ili kulinda mahusiano. lakini ulipofika mwaka wa 6, mgita akakolea, his true colors zikaonekana, akaanza kutembea na vibinti vipya vya benki huku akijiita senior batchelor, mara anatembea na mabosi wakike, kanisani alimaliza wana kwaya wote, mpaka wamama wakichungaji nao walimfahamu Tito, kila wakihubiri wanatolea mfano Tito, tusome kitabu ninachokipenda kwenye biblia cha Tito, kumbe akina mama mchungaji walikuwa wana flash back the dick! chezeya bushelele weye?! yani ni sheedah tupu. Carrie alimvumilia na unajua wamachame walivyo na misimamo yao ya kiduwanzi. akasota nae mpaka mwaka wa 10 ndio taa nyekundu ilipomuwakia akaona hapa hamana kitu bora nitambae mbele nitakufia kwapani mwa Tito buree, akaondoka kwa machozi, lkn kila siku akiwa na hamu, anamkumbuka Tito, akikumbuka mambo yake ya class,a anona hapana asee simtafuti anaishia kumpigia rafkiake George. George alisoma na Carrie South Africa, George alizaliwa Africa Kusini, George aliishi Africa kusini na Tanzania ingawa wazazi wake waliishi Africa kusini lakini walikuwa ni Watanzania. George alimpenda sana Carrie, lkn Carrie walaa, hayupo, siku moja Carrie akiwa amekwama kimwili na George akawa anam nag nag, akasema haina neno ngoja nimwondoe huyu matonya, George was all about class, akaenda akabook 4 star hotela akaenda kula mzigo, Carrie alimu underestimate George lkn kwa ule mziki akimsalute kichaga, yeleuuuuwi. Tangu siku hiyo, Carrie akibanwa, kumpigia George kumalizia haja zake.

Itaendelea
 
Jirani, Jirani yangu wee eee,

Nimekukosea nini

Kila unachokitaka jirani eee

Mimi ninakupatia

Kila unachokitaka jirani eee

Mimi ninakupatia



Mimi ninachokuomba

Mwenzangu wanikatalia

Sasa nikueleweje jirani ee

Sasa nikueleweje mwenzangu ee



Mimi na wewe nikitu kimoja eee

Haina mana ooo haina mana kunyimana

Mimi na wewe nikitu kimoja eee

Haina mana ooo haina mana kunyimana


Warembo waliokuwa wamependeza sana usiku ule, na kila mmoja akawa akiwaangalia na kujaribu kutamani kucheza nao, walionekana wakicheza kwenye bendi ya twanga pepeta kama wenye furaha, kila mmoja kwa mzuka wake kumbe wakitafakari maisha yao yalivyochelewa. Basi wakaona wacheze kupunguza stress zao.



Mziki ukakolea;

Sisi sote ni majirani

Haina maana ooo haina maana kunyimana

Sisi sote ni majirani

Haina maana ooo haina maana kunyimana



Wakacheza mpaka wakachoka wakarudi kuketi kwenye meza yao, "Ah nimecheza mpaka roho imetulia", akasema Adrienne, now nina amani naweza lala usingizi, asante kwa kunileta Carrie haya mambo mimi siyajui, wote wakacheka.


Carrie akamwuliza Doreen, enhe vipi mama masaa yote, ukatuweka mpaka kidogo tukose meza leo, ningekumaindi sio kitoto, natumaini sasa umekaa sawa maana sio kwa kutuweka masaa 100, wote wakacheka. Doreen akajibu, hakuna hata kilichofanyika cha maana, tumekaa tu tumeongea wee, he seems like a nice guy, tena ameniambia nimtumie resume yangu, asee Adrienne naomba unirembee CV yangu nimtumie asee, maana najua week hii upo buzy tafadhali. Adrienne akasema swqa hamna shida niforwadie. Doreen akawauliza, sasa kwenye ile resume sijui nitoe ile kampuni ya Heifer au niache?! Wakamjibu itoe mama, watakuweka bench miaka 4 tena sie tutakuwa nafamilia tutashindwa kukuchangia, wakakubaliana jina la kampuni litolewe kwenye Cv ya Doreen.


Details please, mbona unatuwekea usiku, we Doreen huyo mwanaume mlienda kuangaliana kwani yeye Museum? Kha! Akauliza Carrie

Doreen akamjibu, yani na alivyonishusha nikajua anataka kuniletea mambo ya ukichaa, hug and 1st kiss, kabla hata hajapaki gari vizuri nikamkimbia akabakia ameduwaa.

"Hivi ni wewe uliekuwa unapiga makelele pale nje sio? Nilidhania wanafukuza mwizi ai Doreen una makelele kama motto wa Nursery, sasa kumpigia mikelele kama bendi yetu hapa ni nini?" Akauliza Chanel.


Ah bwana niacheni, ngoja labda nikipata kazi nitamfikiria, yani hapa naishi kwenye ukame alafu nikafufue waliolala si ntakufa?! Akajibu Doreen, wenzake wakacheka.


Huku mziki wa Twanga ukiendelea kuimbwa:


Ukumbuke ya wale wakale waliosema aaa

Jirani yako ndio nduguyooo

Roghate katapilaaa,

Ukumbuke ya wale wakale waliosema aaa

Jirani yako ndio nduguyooo

Mariamu janguooo

Akiomba kapuuuu, umpatieee

Aaah aminathaaaa keitaaa

Akiomba bungooo, umpatieee


Carrie akamwuliza Chanel enhe mami, ushapata bwana? Chanel akasema bado, ni waume tu za watu wakija wananibonyeza bonyeza kuwa tuonane hotelini wanaacha namba nazitupa. Carrie akasema lahaulaaaa, yani unatupa ujuzi? We nawe ni sheedah nyingine kama Doreen, ngoja kwanza,waiter njoo huku tafadhali. Waiter akatokea, habari zenu warembo? Salama, eh waiter, umemwona Yule pedeshee aliekuja na discovery 4? Waiter akasema ndio, eh mwambie kuna mrembo hapa akamwonyeshea carrie, akupe no yake utuletee. Waiter si masihara akaenda kutekelezwa alichoambiwa. Akarudi na namba akampa Carrie akamwambia amesema asikose kumpigia maana amekaa masaa 3 anamuangalia tangu anavyocheza. Carrie akamwambia sawa asante tuletee vinywaji, kila mtu akataja kinywaji chake waiter akaondoka. Haya mama Chanel, unamtaka tajiri au unaogopa kufa? Kufa kila mtu anakufa kwanza hii dunia ishamchafua Mungu anataka aikunje alete ingine alotengeneza Yesu, so unasemaje Chanel? Chanel akasema hata sijui nitafanya nini na huyo baba wa watu! Akamwambia kwa kuanzia mama itabidi umnyonye dudu weee tena uilambe vizuri, wote wakacheka kwa aibu wakimwambia shhhhh punguza sauti jamani, Alafu akiridhika ndio na wewe unyonywe maku. Akikunyonya vizuri utamtafuta kila siku. Doh wenzake wakachoka!. Doreena akamwuliza ivi carrie anaekufundisha haya yote ni Tito au? Carrie akacheka akasema mimi si ni mkubwa kwenu wote, ndio mnisikilize asee, ijumaa sikukuu na jumamosi ni harusi ya bin dada. Sisi wooote hapa ni watu wazima, mchangamshe viuno mkazae kabla Mungu hajakunja dunia kama karatasi, ohoo!

Carrie akawaambia kuna kungwi nimemsikia anakaa uswahili anafundisha jinsi ya kukatika na kula na kunywa, if u know what I mean, so ijumaa tunahamishia kambi kwa Adrienne, aje atufunde, am sure ndani ya mwaka m1 kila mmoja atakuwa na mabwana sio chini ya wane. Wakacheka wote wakakubalia sawa ijumaa saa 8 mchana aje, na ijumaa usiku practice. Carrie akasema so mtafute mabwana kama wewe Adrienne na wewe Doreen huyo tuyu wako unaemlea lea weka nae miadi ijumaa usiku mpikie kwako umkatikie. Kesho naenda kutafuta namba ya kuyo kungwi ofisini, wakakubaliana wakaendelea na maongezi. Carrie akaonekana anatuma sms huku anacheka, Doreen akamwuliza, unamtumia sms nani mama ushapata bwana nini? Carrie akajibu, hapana huyu ni rafkiangu yupo Dar amefikia the Kilimanjaro hotel, amenitumia sms niende. Wenzake wakacheka kwa nguvu hahaaaaaaaa, ticha kapatikanaaaaaa! Carrie akawajibu, wala sijapatikana, nimesoma nae degree alikuwa ananipenda lkn wala sikuwa nam feel kiviile, so nikaamua ngoja tu nilale nae, eh kumbe yupo vizuri hatali, am sure wazulu wamemkatikia mpaka amekuwa fundi, kila akija Tz lazima anitafute. Haya mziki ukiisha naomba mnitupe hapo Kilimanjaro hotel nikapewe raha. Wewe mama Chanel, namba ya bwana wako hii hapa, kama haumtaki usiku wa leo nimwite waiter akamjibu, ila usisahau kutumia condom mama. Akainuka akaenda kucheza.



Mziki ukaendelea kupigwa:

Mimi na wewe kitu kimoja ee

Kitu kimoja eeee

Mimi nawewe dole tupu

Dole tupu eee

Sijalala mwanangu utauawa bure,

Allele lelelelelelee utauawa bureee

Shinyanga shinyanga, dododma dodomaa

Singida singida, wana ukerewe, Bukobabukobaaa, arusha arushaa, kinondoni mambo ya fedhaaaaaa.


Carrie akaonekana anayarudi kweli kweli huyu wenzie wakiwa wanacheka, wakaulizana ivi carrie amelewa au? Sio kwa kucheza kule, si ataenda kumtapikia kaka wa watu huko anakoenda!? Akauliza Adrienne.


Chanel nae alikuwa na nyege mbaya akimuangalia pedeshee mwenyewe mzuri anavutia na yeye akijiangalia rangi ya nyuki anaona Yeeeees, hapa hapa ndo pangu, akamalizia kinywaji chake akawaambia akina Adrienne na Doreen, mwenzenu nina nyege hatari, ngoja nikachukua condom kwenye gari and we call it a night! Doreen na Adrienne wakabakia macho kodooo!

Chanel akaenda kuchukua condom 3 akarudi akaenda kumuaga Carrie, na wenzie 2, akamfuata pedeshee, pendeshee kumwona akainuka, akamvutia kiti kukaribisha, baada ya lisaa 1 wakaonekana wanaondoka kuelekea kwenye gari ya pedeshee. Adrienne akawafuata akaenda akarekodi namba ya gari ya pedeshee, just incase akiwa kidnapped. Kurudi, akasikia Carrie anasema I love the new Chanel, alikuwa muoga kweli wakati namfahamu mpaka leo, am sure akitoka huko asubuhi ataomba ruhusa kazini anaumwa!



Twanga pepeta wakaendelea na tumbuizo:

Sitaki tena kuishi na weeeewee

Kwakuwa mambo ulionitendea yanasikitisha sana ee

Aminathaaa eeee

Amina umebadili uamuzi iweje leo umeenda kuolewa na mume mwengine

Amina oooo aminatha eee

Kumbuka amina eee,

Ahadi tulikubaliana na wewe tufunge ndoa

Imekuwaje leo umeolewa na mume mwengine, yoyooo


Jamani sasa hivi ni saa 4 usiku naomba mnitupe hapo Kilimanjaro nikamaliza shida zangu tutawasiliana, kesho.wakaondoka wakampeleka Kilimanjaro hotel. Carrie akaonekana hayupo sawa wakamwuliza, mami unauhakika na kuja huku? Kwanini tusirudi nyumbani, maana unaonekana umelewa sana. Carrie akajibu mimi thijalewa mimi nyie matako tu nimewaaaambie nipeeeeeleken kwa bwanangu nikaenjoi.

Ikabidi wachukue simu wampigie muhusika, muhusika akaja akamchukua Carrie mpaka chumbani, Adrienne na Doreen wakaondoka kurudi nyumbani.


George alifurahi sana kumwona Carrie akajua usiku mzima mechi ya nyumbani, wakiwa wanatembea kuelekea chumbani, Carrie akaonekana amechoka sana anataka kulala, wakafika chumbani, akamweka kitandani, yeye akaenda bafuni kujiandaa, kurudi akamkuta Carrie amelala fofofo hamu ikamuisha George ikabidi apande kitandani nae alale.


ITAENDELEA
 
Chanel na Pedeshee, (Mario, ndio lilikuwa jina la pedeshee). Wakaelekea Sheraton hotel, kufika Chanel akawa anaogopa utadhania mtoto bikira, alihisi atakufa usiku huo huo, lakini akimuangalia pedeshee alikuwa kaka anaevutia. lakini alikuwa mfupi kwake, akasema oh God! nimejiingiza kwenye nini tenaa? baadae akajiambia what the hell, we only live once!

Pedeshee akamshika akamvua nguo moja moja, top, mini skirt, bra huku akiwa anambusu mashavu, mdomo, shingo akimpapasa mpaka kwenye kiuno akambeba juu juu akamuweka kitandani, Chanel yupo hoi, amelewa kwa mabusu na mipapaso. Akakumbuka condom akamwambia subiri kwanza mkojo umenibana, akaenda chooni akajidai anakojoa akachukua condoa akaitoa akaflash akatoka nayo, akamkuta pedeshee anamsubiria kitandani, akaenda akamvalisha condom, akawa amekaa juu ya pedeshee. Akaanza kumbusu shingoni mara kwenye chuchu akashuka mpaka kwenye mboo akaivua ile condom akaanza kumnyonya! Pedeshee hakuamini, mtoto kama Yule anaweza jua hayo mambo, mboo ilinyonywa mpaka pedeshee akaanza kupika kelele kama mtoto mdogo, nakuja nakuja alipotaka kumwaga, akaitoa nje mboo akamwaga kitandani akamrudishia condom kwenye mboo. Kweli darasa la Carrie lilimkolea Chanel.

Ikafika zamu ya Chanel kuwekwa chini, Pedeshee nae hakuwa wa mchezo, alifanya yake kweli kweli, mtoto akiliwa maziwa anapiga kelele, akinyonywa uchi anapiga kelele kama mama anataka kujifungua, akamnyonya uchi weee mpaka chanel akaanza kulia machozi, basi inatosha utaniua wewe baba yaishe basi niache, pedeshee ndo kwanza anazidi utadhani ameambiwa ongeza, baadae akamwingiza mboo. mboo ilikuwa ya wastan, inch 9 long, lkn pedeshee alijua kucheza nayo kisawa sawa, Chanel alitamani pakuche maana aliona kila rangi kwenye kile chumba, blue, kijani, nyeusi, nyeupe, brown, pinki, pedeshee anakazana kweli kweli, juu, chini, pembeni, katikati, binua, akamla kisawasawa, nyonya wowowo, nyonya maziwa akamaliza wakalala.


Carrie akashituka usiku saa 9, pombe zikiwa zimemtoka akajikuta amelala sehemu asiyoijua, kufungua macho vizuri anamwona George amelala pembeni yake, shit! Nafanya nini huku? Nani kanileta!? Kuangalia simu saa 9 usiku, kuangalia sms akakuta sms za George wamekubaliana waende wakalale wote lkn mbona nimelala na nguo zote imekuwaje, kujinusa akakuta ananuka pombe, akachukua diclofenac akanywa. Akaingia bafuni kupiga mswaki aoge, akiwa bafuni akajaza maji kwenye bath akaingia akakaa kuondoa uchovu, baada ya dk 45 George akashtuka na kumtuka Carrie hayupo ila anaona taa inawaka, akaona opportunity ndio hii akavua nguo zake zoote akaingia nae bafuni. Kufika bafuni hamna mtu, heee, akashangaa, huyu mtoto ameenda wapi?

Baadae akasikia mtu anagonga, kufungua akakuta ni Carrie amesimama na sahani kimejaa matunda, “unafanya nini huku nje usiku huu?” akamwuliza George, akamjibu nilitoka nje kwenda kuomba chakula or something maana nilikuwa na njaa, kurudi nakuta mlango umefunga niliegesha na gazeti ndio maana umejifunga! Akaingia ndani, umeamka saa ngapi? Akauliza carrie. Saa 10 kasoro, nikadhani uko bafuni kuja kukuangalia sijaona mtu nikashtuka naota au? Akajibu George.

Carrie akaja akamkumbatia, oh baby pole akawa anambusu, look at you looking all roar, aghrrr, George akawa anacheka huku anambusu matako Carrie, akamwinua akambeba akamweka kitandani, mechi ikaanza, Carrie akiwa juu anakatika mauno, George akiwa juu anamnyonya uchi, carrie akapiga makelele kama Mbuzi pori Yeleuuuuuwi nakufaaaaa, we mzanzi utaniua! George ndio anaona siifa anazidisha weka ulimi kwa sanaaa mpaka Carrie akahisi uchi unatoka, akamwingizia mboo huku mechi inaelendelea, Carrie akaona kukaa chini sio akambinua George chini yeye akakaa juu akaanza kukatika, George anapiga makelele, mtoto kiuno kama feni hachoki, mwanaume yupo hoi, carrie anmamalizia nyege zake kwa spidi, mwanaume akakojoa, goal la kwanza likafungwa.


Saa 11 alfajiri Pedeshee akashituka usingizini, kuangalia saa ni saa 11 alfajiri, pembeni yake kuna Chanel, hakuamini akafikicha macho kuangalia tena kweli ndio mwenyewe, akashuka kitandani pombe zikiwa bado hazijamtoka, akaenda kuoga, akarudi akanywa dawa, akarudi tena bafuni kwenye bath. Akakaa kama dk 20 akaamka, kurudi akamkuta Chanel amesimama alikuwa anaelekea bafuni, alipomuona akatupa taulo chini, akamkumbatia Chanel akaanza kumbusu, wakazunguka wee mpaka dirishani kulikuwa na sehemu ya kukaa akamuweka chanel hapo dirishani akaanza kumhudumia, Chanel akahisi anakufa, maana aliwaza condom na hana nyingine, Pedeshee yupo buzy anashuka mpaka chumvini, akambeba Chanel akamlaza chini kabisa kwenye carpet, akaichukua mguu wa Chanel akaiweka mabegani akaanaza kumnyonya uchi, nyona kisawasawa maana usiku ule alihisi hajamtendea haki kwa zile pombe, Chanel alisikia raha ambayo hajaiona tangu kuzaliwa, alihisi ameshafika Mbingu kwa mwokozi Yesu, kila akijaribu kuongea anashindwa anabakia kulia tu. Wakati Pedeshee anataka kuingiza mboo, Chanel akamwambia naomba uvae condom, Pedeshee akainuka anaenda kwenye suruali yake akatoa condom akavaa, akaendelea na mechi, Chanel apigia mikelele, nakufa eee Mungu nakufa, oh MY Goood jaman nakufa, pedeshee kakomaa kweli kweli pale sakafuni kumpatia raha motto Chanel asimsahau, game ikapigwa, bao la kwanza la 2 la 3 akahisi Chanel kazimia akamuachia. Chanel akiwa kimya anapumilia mdomo, pua na maskio, Pedeshee akajiona kidume akrudi bafuni kuoga. Akiwa bafuni Chanel akasema hapana sifunmgwi kiboya boya akamfuata huko huko bafuni kaanza kucheza na balls za Pedeshee, pedeshee mbona maji yalikuwa yamoto ghafla hakuamini aliloyaskia, akawa anapiga makelele kashikilia shower, Chanel hakukubali, akaanza kumnyonya mboo mpaka mwisho mpaka Pedeshee akakojoa. Wakaoga wote wakatoka wakijiandaa kuondoka. Saa 12 nanusu asubuhi Chanel anataka kutoka, pedeshee anamwambia tunaweza kuonana tena mrembo? Hii ni business card yangu naomba nisaidie namba yako naahidi kukutafuta. Chanel alisita mwishowe akaamua kumpa tu namba ya simu. Wakati anataka kutoka, pedeshee akamwambia wewe baki ulale najua umechoka sana na mechi ya leo, ikifika saa 5 rudisha funguo reception uondoke, natakiwa ku check out saa 5 asubuhi hapa nawahi ndege ya saa 3 asbh nasafiki kwenda Mogadishu kikazi. Na kwenye droo nimekuwekea asante yako, akaogopa akajua muhuni tu, pedeshee alipoondoka akafungua droo akakuta Tsh 5,000,000 cash akashituka sana, akahisi Yule baba anaukimwi nini lkn akifikiria walitumia condom haiwezekani akawa ameukwaa. Akarudi kulala, saa 4 akaamka akaoga akaondoka, kufika reception wale ma receptionist wakamwuliza, umetokea chumba cha pedeshee, akajibu ndio, akaondoka kurudi nyumbani kwake. Shift yake ya siku hio ilikuwa ya mchana saa 8 akarudi nyumbani kujiandaa akaenda ofisini, sikuhiyo alikuwa active sana ofisini, ile bahasha aliiacha nyumbani kwake, akaifungia kabatini pamoja na pesa kiasi, akaenda kuweka mil 4 benki.


Asubuhi saa 12 Carrie akawahi kuamka, akatuma msg kwa boss kuwa hatoweza kufika kazini anaumwa malaria, akaenda kuoga haraka haraka, akaoda breakfast ya asubuhi, akaletewa, akatoa nguo za George akaziandaa, akamuamsha akiwa yupo uchi ameweka mkuu mmoja kitandani, George alipoamka akakutana na sura ya uchi wa Carrie umepanuliwa kisawa sawa unatamanisha, hakuamini kama huyu ni Carrie wa kale au mpya? Maana mtoto yupo creative kuliko maelezo. Carrie akampandia juu George akambusu toka juu kushuka chini, akamnyonya Mboo kisawa sawa, George akawa anapagawa, utaniua mama, basi inatosha, nisamehe, nitakupeleka kwetu nikakutambulishe nikuoe kabisa, carrie kuona promises zinaanza akazidisha ulimi, akashuka mpaka kwenye balls akaziweka mdomoni anazichezea, George yupo hoi kufa hafi, basi mama uuuuuwi, nakufa, eh utaniua, basi nitakununulia discovery 3 new model, uuuwi basi, akamuacha amekojoa kitandani. George hakuamini macho yake, akamwambi this is what I call morning sex. Sasa ngoja na mimi nikuhudumie, akamgeuza chini akaanza kumnyonya mgongoni, taratibu anashuka mpaka kwenye matako, anakuwa kama anayala, anayatafuna, Carrie akaanza kusikia raha, akaingiza ulimi wake kwenye matako, anamnyonya, akamgeuza taratibu juu akahamia kwa bimdogo, akaazan kumnyonya kisimi chote huku anamwingiza vidole na ulimi, carrrie kachanganyikiwa, jjjjjjjjjgeoooooorgeeee uuuuuwi Yeeeeesu namariaaaaaa, mamaaaaangu mzazi nakufaaaaaa, uuuuuwi, George kuona misifa anazidisha, anaweka ulimi ananyonya, meno anakuwa anang’ata wabibi anawanyonya anawavuta, Carrie yupo hoi analia, akatoa mboo akamwingizia, carrie anasikia raha, anamwambia ingiza yote George tafadhali ingiza yote, George akaingiza yote huku anakazana kumpa raha, Carrie anazidi kulia, George akamgeuza upande upande akaendelea kumpa raha na utaalamu wote alionao, mpaka Carrie akakojoa mara 3 akamwachia. Wote wakiwa hoi, saa 1 nanusu asubuhi. Ikabidi George akaoge, Carrie akafikiria akasema hapa kuonana na George ni miezi 3 – 6 ijayo, ngoja nikamalizie ya mwisho mwisho, akamfuata huko huko bafuni wakaoga wote huku wanapeana mambo.

George alikuwa na mkutano hapo hapo hotelini saa 3 asubuhi, wakawa wanakunywa chai, George akamwambia nakusifu mchaga, maujuzi mapya sijui nani kakufundisha, Carrie akawa anacheka tu, akamwambia naomba ubaki leo mimi nasafiri kesho asubuhi, oda chochote unachotaka watakuletea, ukisikia kuboreka nitumie sms nitakuja kukupa company lunch time. Carrie akafurahi akamfunga tai, akambusu akamsindikiza mpaka mlangoni akamuaga akiwa uchi, baadae akarudi kulala.


KUENDELEA NA HADITHI HII BONYEZA LINK SOME LEMONADE FOR YOU.. PART 1 - MWANZO - .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom