Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Story tamu. Ila kwa carrie bidada angekua huku bongo kichambo kingemuhusu,akhaa ny,g, gani hizo.kupoteza mume na watoto si kitu cha kusahau ndan ya wiki tatu.

hahahaha, umeona ee, wachaga wehuu!

aya boss naweka nyingine sasa hivi STUNTER
 
Uchungu wa mapenzi ni pale unapofiwa aisee,bora uondokewe utabaki na imani kuwa siku moja atarudi
 
Hakuna kilichoniumiza kama kumuua George na watoto

Carrie mwaminifu mwenyewe!!

umemletea mzungu ha ha haa

kwahiyo tunapoomba tubakie na misimamo ya maombi yetu...!!

George weeew
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom