Some lemonade for you madame!

Some lemonade for you madame!

Some lemonade for me madam. Team shawn hapa(maana naona kasahaulika,ila kwa james karoho kanauma kama lucifer anavyomkwepa doreen maana hapati picha akimpa kitambaa itakuwaje)
 
Money Penny Unatukata stimu asee... Angaalau ungetupia saa 3 asubuhi alafu ukatupia tena saa nane, kisha saa kuminambili jioni alafu ya mwisho tupia saa tano usiku...
 
Dah, Money Penny, asante mamaaa. Naomba niwe muwazi, siku ya kwanza nilipoanza kusoma sehemu ya kwanza hata sikuimaliza, nilirudia zaidi ya mara tatu ndo nikaimaliza sehemu ya kwanza, tena baada ya kucoment kuwa itakuwa nzuri mbeleni. Sio tu imekuwa nzuri ila imekuwa kituo kinachofuata baada ya jangwani. Asante mamaa.
 
Asante wangu karibu tena Mbimbinho

We STUNTER nimeajiriwa na Ngosha ivoo unataka nitumbuliwe?! Akaaa, hapa kazi tu! Mengine ni Luxury ya home nikiwa nimetulia
 
Nataman hii story kila unapoiweka ipate like 20. Story tamu wafuatiliaji wengi,ila wabahili wa like,hodari wa kulalamika ukichelewa kuiweka jaman.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom