Natamani uje umalizie hadithi ila nikifikiria kuna maisha nje ya jf najipa uvumilivu. Take time,tunakupenda kama doreen anavyompenda james (ka lucifer ka kiherehere aah!)
Duh, Papuchi sio ya sport asee, mtu anamgeuka boss wake na wakati anajua jinsi alivyo katili, ila kwa kuwa ni Papuchi hata hajali.
Asante Money Penny , nakupenda kwa shingi tano tu.