Some comments hurt! A little sensitivity goes a long way

Some comments hurt! A little sensitivity goes a long way

Karucee theory yao ni ya ukwelii? Hawezi kurithi hiyo kitu toka kwa either of the babus au hata uncles wa either side?

Mama, hivi unadhani I stopped to think of the theory?

Nilitaka tu waangalie yao waachane na mtoto wangu na maumbile yake.

Perverts.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.....the power of positive thinking! hebu usijishushe kwenye level yao bana.

He's only a kid, take it as a compliment. Au shida ni huo #Urithi ulipotoka ndio ukakusononesha na kukusongesha roho?

I bet wamama/ wazazi wengi hufurahia watoto wao wanaposifiwa kwa uzuri wao.

Achana na hao #DepressedWidows waendelee na "window shopping" zao...that's their lives, #Kuzungumzia how greener the grass looks on the other side!

Siku moja bwana nilikuwa nipo out na familia yangu tupo zetu beach. Katoto kangu kanapenda sana maji and he wouldn't sit still mpaka aingie ndani ya maji. So nikamvisha kichupi akawa anachezea maji akiwa na wadogo zangu.

Sasa bwana, meza jirani kulikuwa na akina dada kama wanne hivi ambao umri wao sio chini ya miaka 40. Wamekaa zao wanajipa raha tu. Walionekana wastaarabu but that was all. I didn't pay much attention. Baada ya mda watoto wakasikia njaa so wakatoka ndani ya maji wakaja tukaagiza chakula.

Ile wanatoka ndani ya maji wale wadada wakaanza kuongea.' Aisee mtoto ana mashine akija kukua atakuwaje. Hapo amekatwa au? Atakuwa kafata kwa baba yake si bure. Kama kale kadada ndo mama yake basi kana raha'. Wakawa wanashangaa na sijui ni drinks kukolea, wakawa wanashangilia hasa.

Mpaka hapo nilikuwa sitaki kuamini so nikawa napuuza. It was unfathomable that full grown women would actually take time to discuss my little son's penis. I was angry, sad, disappointed. At one point I couldn't take it anymore... But I knew better than to confront a bunch of badly bleached women with false lashes, tonnes of make up and worn out lace wigs.

How do you sit and discuss a child. Mtoto wa mwaka mmoja na nusu. Its not that I am making a mountain out of a molehill but mtoto wangu anakua. Ina maana asiende swimming? Ama akienda avae chupi ya khaki? How is he supposed to react to those ugly comments?

It is not fair kwa kweli. Tujifunzeni kufikiria before we speak.

Aside from these immature comments about my son,Utakuta kabisa mtu amekaa anamsema mwenzie alivyo mbaya ama anamsema ulemavu wake. Mbaya umemuumba wewe? Aisee growing up tulifundishwa kuwa each of us is God's special creation. Therefore none of us is weak or ugly just because of some disability we might have. Utasikia 'pua kama ngumi'.... mara hiki, mara kile. No. It is not fair.

As a disappointed mother, and as I shake my damn head, I humbly submit.
farkhina, Dark City, OLESAIDIMU, EMT, masai dada, sakapal, Ntuzu, Desert Storm, Asprin, Kaizer. Kamanda Moshi, Mndengereko, Eiyer, miss neddy, King'asti watu8, Mtambuzi, ....




#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Mama, hivi unadhani I stopped to think of the theory?

Nilitaka tu waangalie yao waachane na mtoto wangu na maumbile yake.

Perverts.

.....hii ndio dunia tunayoishi kwa sasa,
Heshima, maadili na adabu kwishney,.... Watu wazima kutamani vitoto vidogo...

Keep your son safe, btw....hsemaid/babysitter wake si unamuamini?
Take it easy Karucee.

J'pili njema


#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli siyo tabia nzuri kudiscuss maumbile ya mtu,lakin ndo hvyo wanadamu hawana jema,ukiwa mfupi utasemwa,ukiwa mrefu utasemwa,bonge utasemwa,mwembamba utasemwa,kikubwa ni kuwapuuza watu kama hao huku ukijua kwamba we ni mfano wa Mungu na Mungu anajivunia wewe. Pole sana Karucee just take it easy.
 
Last edited by a moderator:
Maybe I worry too much.... but positive thinking henceforth and trudt in The Lord to take care of my little man. My son is cute. He is tall for his age and has nice big eyes. I do not mind being complimented on this but down there is a little sensitive.
.....the power of positive thinking! hebu usijishushe kwenye level yao bana.

He's only a kid, take it as a compliment. Au shida ni huo #Urithi ulipotoka ndio ukakusononesha na kukusongesha roho?

I bet wamama/ wazazi wengi hufurahia watoto wao wanaposifiwa kwa uzuri wao.

Achana na hao #DepressedWidows waendelee na "window shopping" zao...that's their lives, #Kuzungumzia how greener the grass looks on the other side!






#MosKwito !

There is nothing like trusting too much. If I did that I would falter in the ways I keep guard over my son. Thank You and A blessed Sunday to you too MosKwito.

.....hii ndio dunia tunayoishi kwa sasa,
Heshima, maadili na adabu kwishney,.... Watu wazima kutamani vitoto vidogo...

Keep your son safe, btw....hsemaid/babysitter wake si unamuamini?
Take it easy Karucee.

J'pili njema


#MosKwito !
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ni kweli siyo tabia nzuri kudiscuss maumbile ya mtu,lakin ndo hvyo wanadamu hawana jema,ukiwa mfupi utasemwa,ukiwa mrefu utasemwa,bonge utasemwa,mwembamba utasemwa,kikubwa ni kuwapuuza watu kama hao huku ukijua kwamba we ni mfano wa Mungu na Mungu anajivunia wewe. Pole sana Karucee just take it easy.
Thanks Girl, cha kufanya ni kumuombea tu pamoja na watoto wengine wakue salama.
 
Angekuwepo baba wa mtoto alaf akaskia comment hizo angezuga tu he mad bout it.
Ila moyoni smile na kicheko ,hi5.

like father like son.
 
Back
Top Bottom