donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
Hapo lazma ulale usingizi mnonooooooooo
Wallah tena, yaan si wengine tunajiegesha tu kukuche ila kuna watu wanalala.
Hahaahahaha umeona eeeeh
Alafu me nimeipenda zaid ya mwanzo soooooo romantic
Hapo kwenye second and third nitalala bila hofu usingizi mnono...Lakini hiko cha kwanza mhh..kama mtu ana sleep walk si ni suicide commission hio..Najijua tayari naongea usingizini na utotoni nikitembea sithubutu kulala hapo labda kama na jicho moja wazi!!
Hapo kwenye second and third nitalala bila hofu usingizi mnono...Lakini hiko cha kwanza mhh..kama mtu ana sleep walk si ni suicide commission hio..Najijua tayari naongea usingizini na utotoni nikitembea sithubutu kulala hapo labda kama na jicho moja wazi!!
Nakwambia hapa hakuna siri kuna siku nililala,jamaa akauliza niliksikia jana usiku ulikuwa unaongea na nani kwenye sim?Mi nikamwambia hata mbona sijaongea na sim,nilikuwa nimelala!!Akasema ulikuwa unaongea na unapaus kusubiri jibu,lakini anajua nina historia ya kuongea usingizini akapuuzia...Aisee unaweza uite hata jina la mtu mwengine salaleh...Hahah, mkuu huwezi kufanya kazi usalama wa taifa, utatoa siri zote za nchi usiku.
Hahah, mkuu huwezi kufanya kazi usalama wa taifa, utatoa siri zote za nchi usiku.
Nakwambia hapa hakuna siri kuna siku nililala,jamaa akauliza niliksikia jana usiku ulikuwa unaongea na nani kwenye sim?Mi nikamwambia hata mbona sijaongea na sim,nilikuwa nimelala!!Akasema ulikuwa unaongea na unapaus kusubiri jibu,lakini anajua nina historia ya kuongea usingizini akapuuzia...Aisee unaweza uite hata jina la mtu mwengine salaleh...
Hilo la kuongea halina shobo naogopa nisije nikatembea usingizini nakutmbukia kwenye hilo pool maji yana kina kirefu na kuogelewa shostio siwezi...Bado uhai nautaka lolShosti wango muoga huyu lol
Hilo la kuongea halina shobo naogopa nisije nikatembea usingizini nakutmbukia kwenye hilo pool maji yana kina kirefu na kuogelewa shostio siwezi...Bado uhai nautaka lol
Utotoni nikifanya na vitendo,Ukubwani bado nabwabwaja tu 🙂!!Sasa waongea tu na vitendo hufanyi? Me mdogo wangu anakaa kitako anasema weee alafu analalaa hahahha tena
ha ha ha acha masikhara nitakuwa siwezi hata kujigeuza lol...Hahahhahhaah utalala na life jacket
Utotoni nikifanya na vitendo,Ukubwani bado nabwabwaja tu 🙂!!
Yallah mbavu zangu...Nimecheka mpaka nimelia haaaaa hio ilikuwa kiboko...Ulipopigwa hilo jikofi ikawaje?Me nshawah kuumbuka mwenzio si niote na do acha nianze screaming dada angu alinipa bonge kofi.
Yallah mbavu zangu...