Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Mie nagombana yale mastress yote nisoyamaliza mchana nayamalizia usiku lol!!!Meamka uso mdogooooo
Mie nagombana yale mastress yote nisoyamaliza mchana nayamalizia usiku lol!!!Meamka uso mdogooooo
Yallah mbavu zangu...Nimecheka mpaka nimelia haaaaa hio ilikuwa kiboko...Ulipopigwa hilo jikofi ikawaje?
Aiiii kweli alikukatiza utamu lol....Nkashtuka akanambia unafanya upuuzi gani sikumjibu mana alinikera kanikatiza ndoto yangu hahahahahaha
Me nshawah kuumbuka mwenzio si niote na do acha nianze screaming dada angu alinipa bonge kofi.
Hahahah, mzazi lazima akuone baradhuli
Yallah mbavu zangu......Ulipopigwa hilo jikofi ikawaje?
Hahahahahaha wala na wao wamepitia humo humo
Lol, wamepitia ndio lakini kuota ndani ya nyumba yao waonekana mhuni atiii badala ya kukaZania skuli we waota waparamiwa
Wallah tena, yaan si wengine tunajiegesha tu kukuche ila kuna watu wanalala.
Nakwambia hapa hakuna siri kuna siku nililala,jamaa akauliza niliksikia jana usiku ulikuwa unaongea na nani kwenye sim?Mi nikamwambia hata mbona sijaongea na sim,nilikuwa nimelala!!Akasema ulikuwa unaongea na unapaus kusubiri jibu,lakini anajua nina historia ya kuongea usingizini akapuuzia...Aisee unaweza uite hata jina la mtu mwengine salaleh...
Halafu baya zaidi sijui nilisemalo wala sikumbuki!hahahaaa.... mimi49 we haufai aisee waweza mwaga siri za watu hivihivi
Halafu baya zaidi sijui nilisemalo wala sikumbuki!
Mhhh....Inakuwa sio fair ukisema hivo kwasababu sijui nilitendalo...Nina app fulani natumia kujirecord kusikia nasema nini sometimes!!Seriously you need password before sleeping
Seriously you need password before sleeping
Mhhh....Inakuwa sio fair ukisema hivo kwasababu sijui nilitendalo...Nina app fulani natumia kujirecord kusikia nasema nini sometimes!!
Sio kwamba naongea always...wakati mwengine nalala thru all night sisemi kitu..Nimechunguza hilo kupitia ile app nilokutajia..Nadhani stress zikinizidi ndo nacharukwa..Nilishare room na shogaangu akaniambia once ulikuwa unaongea lakini hutamki maneno vizuri kwahio sisikii unasema nini...m just thinkig that mamii hivi ikitokea umeenda safari na kushare cost umelala na mate sasa si chumba cha home.utakiweka wazi na mambo yote ya faragha,..imagine farkhina angekuwa kalala na wifi yake!!!!
Hahaha, hivi ile technology ya kurecord dreams kwa kifaa fulani ambacho kinapima brain waves imeshafika tz?