Some Bedrooms.......Goood night.

Some Bedrooms.......Goood night.

Sio kwamba naongea always...wakati mwengine nalala thru all night sisemi kitu..Nimechunguza hilo kupitia ile app nilokutajia..Nadhani stress zikinizidi ndo nacharukwa..Nilishare room na shogaangu akaniambia once ulikuwa unaongea lakini hutamki maneno vizuri kwahio sisikii unasema nini...


Better placed kumbe

Wewe ungekuwa mke wangu nikisafiri siku ya kurudi ni kukujaza stress mwanzo mwisho ili usiku unibwagie ma how deep is your love!!!
 
Better placed kumbe

Wewe ungekuwa mke wangu nikisafiri siku ya kurudi ni kukujaza stress mwanzo mwisho ili usiku unibwagie ma how deep is your love!!!
Hahaha sasa kuongea kunahusiana vipi na malavidavi? 🙂 labda nitaongea kimahaba lol....
 
Hahah, mkuu huwezi kufanya kazi usalama wa taifa, utatoa siri zote za nchi usiku.

Kama ndio bado hujaoa itakubidi girlfriends wako wote wawe na majina yanayofanana ama sivyo ukiota usiku na kutaja jina jingine la shori utaleta SOOOOOOOO!!!
 
Ivo vitanda kweli vizuri na viko sehem tulivu, watu wengi watapenda walalie. Lkn believe me kama umezoea tanda la ovyo ovyo, na sehemu yenye zogo, ukiekwa sehem kama hio itakuchkua hata mda wa wiki nzima ndo upate huo usingizi mnono. Mimi nakumbuka zamani age kama 20 ivi, nlienda kwa mkubwa flan alikua best wa uncle wangu, ambae anaishi UK, basi chumba nlokaribishwa kulala ilikua full ac. Sikulala mpk asubuhi, baridi hata bedcovers nlikua naona hazisaidii. Nshaizoea kwetu joto, na likizid waweza lala hata na chupi
hahaha usipende kulala na kitu chupi asee....kuna popobawa dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom