Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
img_2018-03_Du-Nord_First-Person_Ilhan-Omar_1_G.jpg

Wakati huo huo Wamarekani wenye asili ya Israel wanakosa amani kutoka kwa Mbunge Huyu Mkimbizi kutoka Somalia.

Asili yake ni kutoka Central Somalia
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
22222.jpg

Wanawapenda hawa Wamahara kupita kiasi hii ni Aibu kwa Afrika.
Hadi imefikia wanasema wao ni Ndugu ya Wamahara Ismaiil hahahaaa!!!..Sijui sisi Waafrika wenzao Tuliwakosea nini?!!
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
shabaab-mayd.jpg

Maiti za Wasomali waliojifanya kutuvamia AMISOM cheza na SHAKA ZULU weye.
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
Ngoja tumalize wanaume wote hapo Mogadishu na Puntland halafu tupeleke majeshi ya Wakorowai yakafanye Shughuli
4581234541_6f343cd27b_z.jpg

Majeshi imara ya Wakorowai ni Mwaka mmoja tu wanaibadilisha nchi hiyo ya South Somalia.
 

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
2,760
2,000
Hawa watu hawana uungwana wampokewa na na Kenya na kupewa Makambi Sasa Angalia na bado hawa Watu Wataitesa Afrika ya Mashariki.
Ewe Mtanzania Ewe Mkenya Balaa linakuja.

Hawajafanya vizuri mbona kenya inawahifazi wa somali wenginzaidi eti tena illegal tu na bado wanawafanyia ukorofi lkn wao wa somaki wana wafukuza hao 27 tu kweli jaman LDC citizens are expelled like trush ?
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
24,935
2,000
Wasomali wa Somaliland hawana kwere na mtu yeyote kwanza Wakenya wamejaa Somaliland
e1f27202c4f5a9497dd38a7e1d5e1abf--videos-instagram.jpg

people-map-country-somaliland-vector-12711030.jpg

Wenyewe Wanaiita Jamhuri Iliyobarikiwa ya Somaliland.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom