Somalia yaanza kuwafukuza Wakenya!

Wabajuni pia hua wanaonewa huko somalia, kapo karibu na mpaka wa Somalia na Kenya kule Lamu, Wabajuni wa upande wa Somalia hua wanaonewa sana eti hao si "pure blood' ya kisomalia.... mpaka kuna wengine walikua wanasema wataunda chama kitakacho wa wakilisha kulalamika UN ili waruhusiwe kuishi upande wa Kenya
 
index.jpg
luqman.jpg

Kwa hiyo sasa wana Enjoy mabikira 77 kama hawa
 
WaSomali wanaamini Wasomali Bantu wakifa hawapati mabikira 77
 
Kaka Unapitiliza na kuvuka MIPAKA.
Kuna Kifo baada ya Jf
Kuwa,Makini Na Imani za Watu

Nikifa unajua naenda wapi au ulijisomea kwenye kitabu alichochapa mwanadamu punguani kama mimi na wewe?

KIla imani lazima iwe scrutinized na kua ridiculed!

Cha ajabu hamtaki ridicule wala scrutiny wala kukosolewa?

What the fvck are you people?
 
Nyinyi vijana wa Kizanzibari kuweni makini

Yaani wewe unadhani ni vita ya kidini,Uislamu na Ukristo?

Mimi sina dini wala siamini uchafu wowote kuhusu upumbavu unaitwa Mungu au shetani....

Hayo yenu nyie msiokua na uwezo wa kukabili dunia kama ilivyo bila kujipulizia manukato ya imani za kutunga ili mridhishe mioyo yenu!
 
Nikifa unajua naenda wapi au ulijisomea kwenye kitabu alichochapa mwanadamu punguani kama mimi na wewe?

KIla imani lazima iwe scrutinized na kua ridiculed!

Cha ajabu hamtaki ridicule wala scrutiny wala kukosolewa?

What the fvck are you people?
Unaweza kuongea na kuleta hoja zako,pasipo matusi.

c vyema kutukana viongozi au mitume wa Imani za wenzako.

kupitia comments zako,unaweza kuwa kwazo kwa wenzako

kuwa Gentleman na usiwe Boy

Siku njema kaka
.
 
Yaani wewe unadhani ni vita ya kidini,Uislamu na Ukristo?

Mimi sina dini wala siamini uchafu wowote kuhusu upumbavu unaitwa Mungu au shetani....

Hayo yenu nyie msiokua na uwezo wa kukabili dunia kama ilivyo bila kujipulizia manukato ya imani za kutunga ili mridhishe mioyo yenu!
Kijana tubu
 
Unaweza kuongea na kuleta hoja zako,pasipo matusi.

c vyema kutukana viongozi au mitume wa Imani za wenzako.

kupitia comments zako,unaweza kuwa kwazo kwa wenzako

kuwa Gentleman na usiwe Boy

Siku njema kaka
.

Nimetukana kitu ambacho hakipo,sasa wewe unakasirika nini?

Ningekutukania ndugu yako au mwanadamu ana-exist then unaweza ongea chochote!

Wewe ulishatukanwa mara nyingi tu,na hujawahi kasirika,huyo Mungu wako ni wa namna gani ya kipumbavu namna hiyo he even cant take a joke?

Kwazo kwa nani iwapo kila kitu on earth wanadamu tunachokijua ni open for scrutiny,ridicule,kukosolewa,etc..

Hivi kwanini msikosolewe?

Anae ogopa kukoselewa ana walakini mkubwa,kuna vitu vingine vibaya zaidi anaficha!

Mungu has no exception,lazima akosolewe kama inavyotakiwa na aache kutisha wakosoaji dikteta mkubwa asie na maana!

Kama kua Gentleman ni kufumbia maswali muhimu na kuacha yapite eti sababu kuna mtu kasema ni ya Mungu (whatever that is..) then huo u-gentleman chukueni mkauze!
 
Kijana tubu

Wewe ndio utubu kwa kuamini vitu visivyokuwepo!

Vitu vya kipumbavu,halafu unagombana na Wasomali sababu tu wao Waislamu wewe Mkristo,mnazidi leta divisions duniani sababu ya upumbavu wenu wa dini na miungu ya kipumbavu!
 
Kama wewe huna dini utakuwa umelaaniwa
Sasa tuache tuitangaze injili
 
Kama wewe huna dini utakuwa umelaaniwa
Sasa tuache tuitangaze injili

Nimelaaniwa wewe umejuaje au unapitisha judgements tu?

Nimelaaniwa kwa mujibu wa nani?Wewe?

Au Mungu kakupigia simu?

Hii jeuri ya nyie wenye miungu kujiona mna authority ya kupitisha judgements juu ya wanadamu wengine,ni vituko sana!

Hebu niambie karne ya 13 kushika chini kabla ya ngozi nyeupe yoyote kuja kijijini kwenu mababu zako walikua na huo Ukristo unaojiona ndio bora kuliko dini zingine zozote duniani?

Kwa definition yako,ni kwamba walikua wamelaaniwa sio?
 
Roho mtakatifu alikuwa anatutembelea.
 
Back
Top Bottom