Somalia kuna vocation marriage

Hujathibitisha kama mwanadamu hakuwa na muumbaji kwa sababu lazima kutakuwa na muumbaji..... na ndio maana unaitwa kiumbe. 😀
Kwa nini lazima kuwe na muumbaji? Mwanadamu ni nani? Unajuaje huyu ni mwanadamu na huyu si mwanadamu?
 
Hii mambo ya Mungu sijui yupo au hayupo yamebeba mjadala mzima wa huu uzi. Mbona rahisi tu, anaeamini yupo aendelee na msimamo wake, asiyeamini nae aachiwe uhuru wake.
Au kuna mmoja anamtegemea mwingine kuendesha maisha?

Hapa nilitaraji tuambiane faida za kutembea na mabinti bikira, kitu gani kinapelekea watu wawasakame? Hata baadhi ya matajiri hupenda watafutiwe mabinti bikra wajifurahishe nao.
 
Kwa nini lazima kuwe na muumbaji? Mwanadamu ni nani? Unajuaje huyu ni mwanadamu na huyu si mwanadamu?
😀😀😀😀😀😀😀😀 nakuomba urudi shule ukasome tena upya utamjua mwanaadamu ni nani, nguruwe ni nani, simba ni nani, pia itabidi urudi ukasome mambo mengi, labda pia utauliza dunia ni nini, utatuuliza tunajuaje kama tunaishi kwenye dunia 😀

We jamaa umechacha kweli... nakuona hapo juu jinsi ulivochacha sasa umeamua kukebehi watu kumbe unajikebehi mwenyeo. Unajuaje kama unatype wewe?

Ukimaliza kujifunza, uje na ushahidi wako wa kuwa binaadamu hana muumbaji!
 
Unakimbia kujibu maswali, kwa sababu huna majibu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wewe hata shule huelewi maana yake ni nini.

Nakupa nafasi ya kurudi shule hapa JF, huioni.
 
Unakimbia kujibu maswali, kwa sababu huna majibu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Wewe hata shule huelewi maana yake ni nini.

Nakupa nafasi ya kurudi shule hapa JF, huioni.
Mtu ambae hajui BINAADAMU ni nini anataka kunirudisha shule 😀😀😀 majibu nimekupa mujarrab. Ila wewe hata kubahatisha kujibu umeshindwa na nimekupa nafasi sana na nimekuuliza sana. Unaishia kuniuliza maswali ya nursery UKIEPUKA KUJIBU MASWALI UNAYOULIZWA!!

Mwaga nondo zako kuwa binaadamu hana muumbaji na amekuja tu mwenyewe ivi ivi.... Hujawahi kujibu hili swali tangu nikufahamu humu JF. Na nilikuomba proof kuwa ulimwengu ulikuja wenyewe bila creator, hadi leo hukuleta proof, akisha unakataa existence of GOD! Hakuna kitu complex ulimwengu kinachoweza kuja tu wenyewe kama kipo nipe proof kwa kunielezea icho kitu kimekujaje! khalas....
 
Wewe huna akili ya kujua Socratic method.

Ndiyo maana hatuwezi kujadiliana.
 
Wewe huna akili ya kujua Socratic method.

Ndiyo maana hatuwezi kujadiliana.
😀 😀 😀 is that why you cant prove to all of us how the universe came to being without a creator?

Is that your excuse why you cant prove to anyone that Humans came to existence without being created?

Poor defense
 
Mazalia ya magaidi!
 
That is why you cannot discuss anything worth a sack of salt with me.
 
That is why you cannot discuss anything worth a sack of salt with me.
Ahahahah... kwa sababu hujibu masuali how can you discuss anything with anyone. Ukiulizwa hujibu unakimbia! You are an empty head... its a waste of time discussing anything with you if you cant even try to defend it!
 
Wasomali wanaotoka Ulaya na Marekani wakienda likizo kwao huoa wasichana bikra na baada ya likizo huwatelekeza na kurudi kwa wake zao huko watokako.
duuuhh ..wenzetu wame develop ...hahaaa
 
Aiseee itabidi niende huko nikajionee
 
hahaaa
 
fact ...nimekupa like mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…