Usipomuuliza mtoto wako wa miaka minne maswali ya integration ya calculus ambayo hawezi kuyajibu, hilo maana yake umempa uwezo wa kujibu maswali yote ya hesabu?Kivipi?
Yaani unavojifanya mjuaji ndio umeona mfano wa kutoa huu? Hio mantiki yako unayoiona kubwa nna wasiwasi nayo kweli.Usipomuuliza mtoto wako wa miaka minne maswali ya integration ya calculus ambayo hawezi kuyajibu, hilo maana yake umempa uwezo wa kujibu maswali yote ya hesabu?
Umeelewa nilichoandika?Yaani unavojifanya mjuaji ndio umeona mfano wa kutoa huu? Hio mantiki yako unayoiona kubwa nna wasiwasi nayo kweli.
Labda mie nikuulize, kwani wewe ulitaka aweze kujibu maswali yote ya hesabu au mengine asiweze kuyajibu?
Moja ya tatizo la Atheist, hamjui ni nini mnataka. Umejaribu kutoa mfano wa mtoto wa miaka minne, ukamention specific topic, mwenyewe ukaona umetoa bonge la mfano. tukiuchukua huo mfano wako na ulichosema sasa,Umeelewa nilichoandika?
Una wasiwasi na mantiki niliyoandika wapi?
Unachanganya dhana ya Mungu kutompa maswali asiyoweza kuyajibu mtu na dhana ya mtu kuwa na majibu yote.
Mungu akimpa mtu uwezo wa kujua three dimensions tu, asijue the fourth to the eleventh dimensions, mtu akashindwa hata kuuliza maswali ya hizo extra dimensions, hilo linamaanisha mtu hatakuwa na maswali ya hizo extra dimensions.
Hilo halina maana kwamba hizo dimensions hazitakuwepo, au mtu atakuwa na majibu yote ya hizo dimensions.
Umeelewa hilo?
Unaelew kwamba unachanganya mawili hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuulize mfano wa kitu ambacho sikijui?Moja ya tatizo la Atheist, hamjui ni nini mnataka. Umejaribu kutoa mfano wa mtoto wa miaka minne, ukamention specific topic, mwenyewe ukaona umetoa bonge la mfano. tukiuchukua huo mfano wako na ulichosema sasa,
Asingeruhusu mtu kuwa na maswali asiyoweza kuyajibu. Hapa hukuspecify, swali gani kwanza.
Swali linaulizwa ukitaka Kujua kitu. Ila kama hutaki kujua kitu, utaulizaje swali?
Ikiwa Mwalimu hataki kujua uwezo wako wa hesabu, je atakuuliza swali?
Mfano wako wa kuw "Mungu akimpa mtu uwezo wa kujua dimension 3, lakini hajui 4th to 11th..." ni mzuri sana Wallah. Kwa sababu, kwanza, inathibitisha Limitation ya mtu, tukijaalia hizo dimension zipo lakini mtu hazijui wala hajawahi kufikiria icho kitu, basi hapa ndio tunasema kuwa Mungu ndio Mjuzi wa yote.
Wewe point yako ni kuwa Mungu asingempa maswali ambayo hawezi kujibu.... labda nikuulize mfano wa hilo swali ni lipi?
Nikuulize mfano wa kitu ambacho sikijui?
Hivi unajua kusoma wewe?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Uliza swali ambalo huna jibu lake?
Swali lako la kuthibitisha Mungu yupo limejibiwa zamani, wala hukuwa na uwezo wa kulirefute. Maana hadi leo umeshindwa kuelezea unachokiamini.
Unaniuliza mimi kama najua kusoma au hilo swali ujiulize wewe? Ungekuwa unajua kusoma mbona ungekuwa ushatolea ufafanuzi wa maswali ambayo mwezi mzima nimekuwa nakuuliza lakini unashindwa kuyajibu? 😀
Vipi nakukumbushia, nlikuwa nataka kujua msimamo wako Ulimwengu ulitokeaje out of nowhere?
Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, dunia hii isingekuwa na baya lolote.
Uwepo wa mabaya katikadunia hii, kifo, matetemeko, tsunamis etc, unathibitisha Mungu huyo hayupo.
Angekuwepo, asingeuumba ulimwengu huu kwa ukatili hivyo ukawa na mabaya hayo yote.
Mungu huyo katungwa tu na watu katikakupambana na mazingira yao duniani.
Kipi kigumu kuelewa hapo?
Nikikwambia sijui square root ya 2 ni nini, lakini najua si 10, kwa sababu square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, utakubalihilo jibu kama likosawa?
Haya mambo yapo sehemu nyingi tu kwenye Uislamu na Mtume mwenyewe alishayabariki.
Let’s Talk About Mutah, or Temporary Marriage in Islam
Wewendiye unatakiwa kupinga kwa pointna sikwa kukanusha jumlajumla, angalau mimi nimekuwekeahiyo link, unatakiwa kuipinga hiyo link, usemehuu si Uislamu kwa sababu hii, kwa sababu Mtume alisema hivi, kwa sababu aya hii ya Quran ilisema hivi.Acha kupotosha.
Hakuna uislamu wa kuoa leo na kuacha kesho.
No research no right to speak
Mastermind
Unaelewa kwamba ukiandika anuthing complex must have a creator, umekanusha uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?Mungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.
Asingekuwepo, ulimwengu usingekuwepo.
Haiwezekani, mtu awe alivyo kama hakuumbwa na Mungu, Haiwezekani kuwe hakuna Mungu akisha mtu kwa bahati mbaya ahitaji macho kuona, masikio kusikia, miguu kutembea, mikono kushika, ngozi kuhisi n.k, bila Mungu hivi vitu haviwezekani kuwepo.
Mungu anaupendo, na ndio maana akaweka guidelines watu wazifuate, kutozifuata haimaanishi kuwa Mungu hayupo, kuwepo kwa division Zero mashuleni haimaanishi kuwa hakuna elimu.
Uwepo wa kifo, ni ushahidi wa uwepo wa Mungu, kwa sababu katika Quran amesema kuwa yeye ndio wa milele, hivo mtu hawezi kuwa wa milele, LAZIMA AFE! kuwepo kwa matetemeko, nayo ni ushahidi wa uwepo, kwani bila ya hizi events, dunia isingetosha, ( FYI: Hata wanasayansi wanatambua kuwa hizi events ni essential for life cycle of the earth) uwepo wa mabaya nayo ni ushahidi wa uwepo wake, kwa sababu amesema kuwa Muovu ataadhibiwa na mwema atazawadiwa mazuri. Na pia hoja yako hii ni dhaifu, kama unaamini uwepo wa mazuri basi ndio uwepo wake, bila shaka mazuri yapo mengi duniani! 🙂
Fikra ya uwepo wa muumbaji ni fikra ambayo ni halisi na hikutungwa. Anything complex must have a creator, na kama hakuna creator, then nothing can exist. Ushahidi wa hili upo mbele ya macho yako, nikikwambia simu unayotumia haina mtengenezaji utanibishia, tena vipi ukatae ulimwengu uliopo perfect ukose muumbaji?
Tambua kuwa, Mungu amabe sio kiumbe, hafananishwi na Square root, wala pembe tatu, katika kuthibitisha uwepo wake, mifano yako hii marufu ni batil.
Mungu mwenye upendo wote - Mungu ambae anakupa hewa ya Oxygen uvute bure ili uishi, hospitali unalipia. Mungu amekujaalia wanyama na miti kwa ajili ya uwepo wa mtu, je huu sio upendo? Mungu anaeleta Neema duniani, Mvua, chuma na madini mengine ambayo leo hii unayatumia kujinufaisha akisha unasema kuwa mungu hayupo?
Ingekuwa Mungu hayupo, tena what is the purpose of life? Hivi wewe inaingia akili kuwa hapa dunia mtu anakudhulumu, anakuibiwa na kukutesa, unataka kunambia kuwa ukifa basi ndio hamna kitu kwako uldhulumiwa na kuteswa?
Unaweza kuelezea ulimwengu umewezaje kuwa in a perfect order kupitia coincidence?
Ikiwa Unaamini kuwa sisi tulikuwa vijidudu tu hapo mwanzo, hivo vijidudu vilianzaje kujitengeza kwenye mme na mke? vilijuaje kuwa vitahitaji mdomo kula na ass kunya? vilijuaje hivo whatever you call them kuwa vitahitaji miguu, kwanini viligeuka kuwa mtu na sio nyoka? au kwanini sote hatukuwa one animal ila tumetofautiana?
Kama hakuna Muumbaji kwanini basi hatuoni mtu akitokea nje ya njia za uzazi, kama vile umekaa maskani tu, out of nowhere unamuona mtu anaanza kuform?
Mungu ndio Mjuzi wa yote, yeye kama Muumbaji, basi yeye ndio mwenye kujua kila kitu, hakuna kilichojificha kwake. Mtu uwezo wake wa kufikiri au kuchambua mambo unakikomo, na before Bing Bang hawezi kujua chochote kile, lakini Mungu mjuzi wa yote ndio mwenye kujua.
Kiufupi;
- ANYTHING COMPLEX MUST HAVE A CREATOR. Ukipinga Hili basi thibitisha vipi hicho kitu complex kitakuwa hakina muumbaji and how it came to being.
Nikisema anything complex must have a creator haiwezi kumaanisha kuwa Mungu hayupo hata siku moja. KWA SABABU MUNGU SIO ANYTHING WALA A THING WALA A CREATION! Ndipo unapofeli wewe hapo. Ikiwa hujui tofauti ya kiumbe na kisichoumbwa utajua mantiki yoyote?Unaelewa kwamba ukiandika anuthing complex must have a creator, umekanusha uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?
Kwa nini hili suala la mantiki ndogo tu linakiwa gumu sana kwako kuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
AKIKUJIBU ni`tag!Vocation ndio nini?
Natafuta mmojaSomalia umeenda mbali sana. Mbona haya mambo yanafanyika sana hapo Zanzibar na waarab kutoka Oman.
Wanapofika Zanzibar hupatiwa wasichana mabikra na kuwaoa kwa muda kwa matumizi ya NGONO. Muda wao unapoisha huondoka zao na kuacha watoto wa kike wakitaabika na familia zao.
Zanzibar kuna Mawakala kabisa wa kutayarisha hizo ndoa fake.
Swali lako lina ushamba wa ufahamu.
Wewe ni kama kipofu ambaye ameshazoea kujua vitu kwa sauti. Anahadithiwa kuhusu rangi za bendera ya taifa ya Tanzania, anaambiwa ipo bluu, hajui bluu ni nini, anauliza " hiyo bluu mlio wake ukoje?". Kwa sababu katika ulimwengu wake finyu ambao vitu havitambuliki kwa rangi, vinatambulika kwa sauti, anaona kila kitu ni lazima kiwe na sauti.
Mzee baba unaelewa kuhusu evolutionMungu mjuzi wa yote na mwenye upendo wote yupo.
Asingekuwepo, ulimwengu usingekuwepo.
Haiwezekani, mtu awe alivyo kama hakuumbwa na Mungu, Haiwezekani kuwe hakuna Mungu akisha mtu kwa bahati mbaya ahitaji macho kuona, masikio kusikia, miguu kutembea, mikono kushika, ngozi kuhisi n.k, bila Mungu hivi vitu haviwezekani kuwepo.
Mungu anaupendo, na ndio maana akaweka guidelines watu wazifuate, kutozifuata haimaanishi kuwa Mungu hayupo, kuwepo kwa division Zero mashuleni haimaanishi kuwa hakuna elimu.
Uwepo wa kifo, ni ushahidi wa uwepo wa Mungu, kwa sababu katika Quran amesema kuwa yeye ndio wa milele, hivo mtu hawezi kuwa wa milele, LAZIMA AFE! kuwepo kwa matetemeko, nayo ni ushahidi wa uwepo, kwani bila ya hizi events, dunia isingetosha, ( FYI: Hata wanasayansi wanatambua kuwa hizi events ni essential for life cycle of the earth) uwepo wa mabaya nayo ni ushahidi wa uwepo wake, kwa sababu amesema kuwa Muovu ataadhibiwa na mwema atazawadiwa mazuri. Na pia hoja yako hii ni dhaifu, kama unaamini uwepo wa mazuri basi ndio uwepo wake, bila shaka mazuri yapo mengi duniani! 🙂
Fikra ya uwepo wa muumbaji ni fikra ambayo ni halisi na hikutungwa. Anything complex must have a creator, na kama hakuna creator, then nothing can exist. Ushahidi wa hili upo mbele ya macho yako, nikikwambia simu unayotumia haina mtengenezaji utanibishia, tena vipi ukatae ulimwengu uliopo perfect ukose muumbaji?
Tambua kuwa, Mungu amabe sio kiumbe, hafananishwi na Square root, wala pembe tatu, katika kuthibitisha uwepo wake, mifano yako hii marufu ni batil.
Mungu mwenye upendo wote - Mungu ambae anakupa hewa ya Oxygen uvute bure ili uishi, hospitali unalipia. Mungu amekujaalia wanyama na miti kwa ajili ya uwepo wa mtu, je huu sio upendo? Mungu anaeleta Neema duniani, Mvua, chuma na madini mengine ambayo leo hii unayatumia kujinufaisha akisha unasema kuwa mungu hayupo?
Ingekuwa Mungu hayupo, tena what is the purpose of life? Hivi wewe inaingia akili kuwa hapa dunia mtu anakudhulumu, anakuibiwa na kukutesa, unataka kunambia kuwa ukifa basi ndio hamna kitu kwako uldhulumiwa na kuteswa?
Unaweza kuelezea ulimwengu umewezaje kuwa in a perfect order kupitia coincidence?
Ikiwa Unaamini kuwa sisi tulikuwa vijidudu tu hapo mwanzo, hivo vijidudu vilianzaje kujitengeza kwenye mme na mke? vilijuaje kuwa vitahitaji mdomo kula na ass kunya? vilijuaje hivo whatever you call them kuwa vitahitaji miguu, kwanini viligeuka kuwa mtu na sio nyoka? au kwanini sote hatukuwa one animal ila tumetofautiana?
Kama hakuna Muumbaji kwanini basi hatuoni mtu akitokea nje ya njia za uzazi, kama vile umekaa maskani tu, out of nowhere unamuona mtu anaanza kuform?
Mungu ndio Mjuzi wa yote, yeye kama Muumbaji, basi yeye ndio mwenye kujua kila kitu, hakuna kilichojificha kwake. Mtu uwezo wake wa kufikiri au kuchambua mambo unakikomo, na before Bing Bang hawezi kujua chochote kile, lakini Mungu mjuzi wa yote ndio mwenye kujua.
Kiufupi;
- ANYTHING COMPLEX MUST HAVE A CREATOR. Ukipinga Hili basi thibitisha vipi hicho kitu complex kitakuwa hakina muumbaji and how it came to being.
What is it with Evolution? Hebu mwaga nondo za evolution and be ready to answer the questions.
Kwa kifupi jamaa hajui kutetea anachoamini ..Amekalili madesa ...!!Nikisema anything complex must have a creator haiwezi kumaanisha kuwa Mungu hayupo hata siku moja. KWA SABABU MUNGU SIO ANYTHING WALA A THING WALA A CREATION! Ndipo unapofeli wewe hapo. Ikiwa hujui tofauti ya kiumbe na kisichoumbwa utajua mantiki yoyote?
Jipange upya! na ukija tena uje na dhana ya kuwa Mungu sio kiumbe.
Mengi umeyaepuka kwenye post kama kawaida yako, yote hio ni woga tu
Kwa kifupi jamaa hajui kutetea anachoamini ..Amekalili madesa ...!!
Sent using Jamii Forums mobile app