Ahudhubillah Min dharka.
Hao walio fanya kitendo hicho cha kinyama, wanaonyesha ni jinsi gani hawana ubinadamu, na wapo hapo kwa kutetea ukandamizaji wa haki za kibinadamu.
Kitendo kilichofanyika si katika uislam, japokuwa anti-islam, watachukulia kuwa ndio uislam na kuunganisha tukio hilo na mambo yanayojiri sasa kuhusiana na mahakama ya Kadhi na sakata la O.I.C hapa Tanzania.
Sote tunafahamu kuwa Somalia hakuna serikali kwa kipindi cha miaka zaidi ya 18 sasa. Utawala uliokuwepo ni huo wa kimabavu, makabila makubwa ndio yenye kutawala Somalia (Darood, hawiye nk). Waulizeni au tafuteni habari za yale makabila madogo ya somalia yanavyo teseka, mfano jamaa wa Kibajuni, leo wamekuwa wakimbizi katika nchi mbali mbali.
Who are al-Shabab militia anyway! Hiki ni kikundu tu kinacho jichukulia madaraka mikononi. Ukienda Mogadishu nako kuna vikundi vyenye misimamo tofauti na hawa wanao jihita al-Shabab militia. Hivi ni vikundi ambavyo havijui nini maana ya haki za binadamu na wala hawahujui Uislam.
Hawa watu wanapaswa kulaaniwa kwa kila hali.
Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Somalia ipate mwelekeo na serikali ya kudumu.
Amin
So sad, hawa wanaotaka kutuletea shariah laws hapa Tz ndo wanataka tuwe reduced into savage beasts kama hawa?
Hatuwezi kukubali huu unyama..
what you cant see is that this is a war torn area .. hamna wakutetea wanyonge, sheria inachukuliwa na wenye nguvu and that's it .. sheria yes advocates for stoning lakini si kwa mwanamke pekee bali kwa both .. otherwise those stoning should also not have committed such offences in their lives .. dont jump at conclusions my brother and dont be scared too .. sheria will not come to tz
You said it yourself..
Siko hapa kulumbana.. natoa ilmu kwa mwenye kuhitaji..actually walengwa wangu ni watu critical sio kila mtu..
Was'alaam
"otherwise those stoning should also not have committed such offences in their lives"
Guess these are my own words yes .. meaning no one is perfect and we are all sinners, one day or the other we will commit the same sin .. so whoever knows he/she is superhuman should be the one to carry our the act of stonning one to death but if one know that he/she is a culprit hiding behind some umbrella ofcourse God will punish you for it... though i dont deny that the law exists lakini kila kitu kina misingi yake .. like mtu akiambiwa kula .. huwezi ukakurupuka ukala mpaka visolika ilimradi umeambiwa kula ..
Nilikuwa sijui hicho kitu, I am stunned!
Miaka yote nilikuwa nadhani "Sharia" ndio inavyosema kwamba ukikamata a couple wanazini unamwachia mwanamme aende halafu mwanake mnampiga vitofa mpaka afe.
Kumbe inawezekana dini nzima imekuwa distorted through and through.
Inawezekana hata zile sheria za Saudi Arabia na Irani zinazosema Mwanammke haruhusiwi kuwa na driver's licence, hawezi kuwa daktari, ajifungie ndani na azibe mpaka uso, inawezekana ni sheria za kutunga!
Au ni tamaduni za Kiarabu zimegeuzwa masharti ya kidini?
Tatizo moja nadhani ni kwamba tunafundishwa Uislamu kwa lugha ya kigeni. Uwe Mswahili, Mjapani, Mdengeleko, Mhaya, wote tunafundishwa Uislamu kwa Kiarabu. Kwa nini usiongee Kiswahili tujifunze Uislamu katika lugha tunayoilewa ? Kung'ang'ania utamaduni wa waliotuletea dini ndio mwanzo wa distortions hizi.
Amen.
Welcome to the world of apostacy..
Whoever who thinks his/her laws are better than allah's..s/he is an infidel..
Takbir